Baadhi ya mahitaji ya mume

Mkuu hapo umesema maneno ya hekima na busara kila mwanamke mwenye sikio na asikie hayo.
 
During my awesome 18 years on this earth... Nimenotice kitu kimoja.

Girls, narudia, wasichana hawapendi kupendwa. Ukimfanyia hayo mambo, sijui unampetipeti, mara umjulie hali 24/7. Atakwambia you are too nice na hii ni red flag.

Women, wanawake wanataka a real man. Hapa ndo hiyo 2-way traffic itafanya kazi.

Lakini useme umtreat MSICHANA vizuri loooooo... Imekula kwako. Na wengi wetu tunaoa wasichana sio wanawake.

TL;DR kunamsemo unasema "nice guys finish last". Ndo hivyo mnawaona too boring. Unasema ni kheri kumtreat ovyo asikuache. Girls want boys, women want men. I hope I meet a woman, NOT a girl then nitamfanyia yote mazuri.

-callmeGhost
 
"ata kam uwezo wake n mdogo kulko ww,appriciate kile kidogo anachokiweza au anachofanya" apa ndo utata unaanzia wengi wanashindwa kuvumilia
 
Ya mwisho(6) sio applicable kwa wimbi kubwa la mariooos, wavivu, wa leo
Ndiyo maana hamuolewi kuona kila kitu jinsi mufikilivyoo..! Sometime unahitaji kubadirika kutegemea mazingira ya wakati huo.
 
sawa, heading there right away supermarket usije cause tunatania looooh
Nimeshakataza huu utani mapema tu, naona mnaingia kwenye 18 zangu inawezekana hamnijui vizuri. Uzuri zaidi ninapokamata mhalifu nimepewa kibali cha kujichukulia hatua mkononi
. Kama mnahisi mnapokwenda sipajui naombeni niwape rukhsa nendeni halafu muone nini kinafuata.
Naskia harufu ya kupandishwa cheo
Ebu twende zetu hivi achana naye

Anapafahamu hata!..?
 
Hahahhahaha tushabadilisha gia angani
 
Hapo ubize kama sgetani umenikumbusha bwana Juma Pakua Maharage.' Mlizoea kuishi kama malaika sasa mtaishi mashetani'..
 
Inasikitisha JF limeibuka wimbi la binadamu wanaojua tu weaknesses za jinsia isiyo yao. Poleni saana.
Ni shida.... Ni tatizo kubwa.... Maboriti yako wenyewe hawawezi kuyagundua....!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…