Baadhi ya mahitaji ya mume

imenigusa na mpaka nafikria kutengana naye mazima.
 
haswaaa, wifi bhana, kwani ile alosema two way trafic alimaanisha na ndugu? la hasha,

kipenzi tu ndo mpango wa mujini wengine unakula kimya.
Kwenye makelele hakuna mapenzi, believe me mama! Yaani nimetaja ndugu kwa kua najua wao wana nafasi kubwa sana ya kuleta makelele kwenye nyumba yako!
Mfano, binafsi nilipomaliza masomo nilipata kazi mkoani huku nyuma nikaacha mtoto wangu wa kwanza na mume na mdogo wake wa kike, kumbe mwenzangu alikua na mwanamke na Mara kadhaa alikua akija nae pale nyumbani kumbe (mimi sikua na hili wala lile mwanangu alikua mdogo domo zito miaka mi 3 ila hata kuongea ilikua shida) yule mwanamke alipata mimba, mimi nae nikaja baadae nikapata mimba ikawa mimba juu ya mimba, tulipishana miezi mi 6 kujifungua yeye alitangulia mwanaume akawa kama bendela kila sehemu anapepea ila nilikua sijui ila Wifi anajua na bila shaka na mama mkwe alikua anajua!
Mambo yalienda enda nikahamishwa kituo changu cha kazi nikarudi nyumbani pale Sikh zilivyoenda ikabidi mwanaume aniambie ila alisema ni bahati mbaya na hana mpango nae wameachana kiukweli, niliumia mnoo sana sana na ukizingatia nilikua nna kachanga mkononi wifi yangu alikua akitoa maneno pale anapeleka huko nje_ what supp profile yake kamuweka yule mtoto Facebook ndo usiseme yaani ilikua maumivu balaa ila nilijikaza nikasema sishindani nao nikapiga kimyaa sikutaka kumshitaki kwao wala kwetu kimyaa mpaka Leo
 
Kuna kitu gani hapa kinaendelea!!
Kuna usalama shemeji jje's
Unaijua kazi niliyopewa na STUNTER
Haha...nataniana na shemeji yangu mkuu... jje's una walinzii naona bro kabakiza kumwajiri great kalii tu
 
you are a star my wifi, mimi roho yangu inapenda sana amani and i think i will not tolerate dis things.

naomba Mungu STUNTER asije nifanyia hivyo nitakufa kisirisiri ila kufa kabisa naogopa.
 
Mtoa post umetema madini ya kueleweka. Tatizo kigezo namba 5 na namba 6 vinawashinda dada zetu maana wengi ni machi no... kila kitu wanajua.. alafu wabishi kweli...
Kila mtu mjini kaja kwa njia yake, kwaiyo usitujumlishe wote labda Dada zako ndio much know wa iyo 5&6
 
Thanks darling sis. Maana kuna watu wanapenda kufanyiwa mazuri wao tu eeeeh.

It's so much easier pale ambapo kila mmoja wenu anapojitahidi 100% kutengeneza mahusiano bora, tofauti na pale ambapo ni mtu mmoja tu ndo anahangaika kutengeneza mahusiano, siku huyu mmoja akichoka/kupitiwa, na mahusiano yanachoka. Worse enough upate mtu ambaye yeye hafanyi chochote afu still hajui kuappreciate unayomfanyia. Mahusiano yanahitaji continues efforts za wote wawili, inapunguza na magumu mengine kidogo bana
 
you are a star my wifi, mimi roho yangu inapenda sana amani and i think i will not tolerate dis things.

naomba Mungu STUNTER asije nifanyia hivyo nitakufa kisirisiri ila kufa kabisa naogopa.
Kama roho yako inapenda amani, jifunze kupuuzia vitu hata kama ni vikubwa kiasi gani yaani wewe ignore tu usiweke moyoni! Hapo hakika utakua na amani maana kuweka vitu moyoni matokeo yake ni visasi na hasira ambazo zaweza kuwa hasara kwako na kwa wengine
 
Haha...nataniana na shemeji yangu mkuu... jje's una walinzii naona bro kabakiza kumwajiri great kalii tu
Daby usimchekee sana shem jje's.
Bwamdogo kuwa makini unapopita napaona, Mimi nalipwa kwenye hii kazi ya ulinzi siwezi kupoteza kibarua changu kwa uzembe
usalama upo tena sana. si unasikia naitwa shem lakini shem supermarket

una nini lakini? wewe fuatilia tu utaona usalama wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…