Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Wakikubaliana na hayo yetu, tusubiri list ya matakwa yao. Sijui tutaweza kuitimiza?!Habari wana MMU?
Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.
2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)
3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)
4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)
5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)
6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
sawaHabari wana MMU?

umeonaeee, lazima tufanye hivyo ili upande mwingine ulete mrejesho kwa kuleta maswali.Inasikitisha JF limeibuka wimbi la binadamu wanaojua tu weaknesses za jinsia isiyo yao. Poleni saana.
Teh shem bhana. Ni kweli.umeonaeee, lazima tufanye hivyo ili upande mwingine ulete mrejesho kwa kuleta maswali.
Nyani siku zote haoni kundule. nataka nifafanue hapa kwamba, tukisema; upande mwingine wako huru kutoa maoni yao.
Mimi naacha sijui wengine [emoji5][emoji5]tukitekeleza yote hayo bado mnachepuka.
namwombea kila kukicha, namwamini Mungu haitokaa itokeee.πππIla angalia asilitie maji. Siwezi kusuluhisha mimi nitawakimbia
Uwe unaniombea basi na mimi nimpate kama wew!namwombea kila kukicha, namwamini Mungu haitokaa itokeee.πππ
hivi shem wewe bado eeeeh, acha nianze kumweleza Mungu juu ya wewe.Uwe unaniombea basi na mimi nimpate kama wew!
Shem namtaka twin wako. Kila kitu mfanane ikiwezekana awe jirani yako ili siku tukiibuka via via tuwe wote [emoji53][emoji53]hivi shem wewe bado eeeeh, acha nianze kumweleza Mungu juu ya wewe.
unapenda mwenye sifa gani shem wangu.