Baadhi ya Magazeti ya leo

Baadhi ya Magazeti ya leo

Naamini kukubali kuja na kufanya mazungumzo ni ushindi tosha hata kama hawatalipa senti moja. Sisi ni nchi huru lazima tuheshimiwe
 
Hapo hakuna Gazeti lenye kustahili kupewa attention na Great thinkers!
 
Ilitakiwa wawepo na watu wanaoijuwa sheria hasa za kimataifa;
 
Ni mpuuzi tu anaweza kuwaambia watu wake wasubiri Noah kwa pesa ya Makinikia.
 
Ni mpuuzi tu ndiye anayeombea ACCACIA/Barrick watushinde.
Mkuu hakuna anaeombea Barrick washinde kamwe, kusema kweli hakuna, lakini pia tukubali kuwa wakweli ndio cha msingi. Kama rangi ni nyeupe tuite nyeupe mkuu na kama ni cream tuite cream. Hakuna haja kuita rangi ya cream nyeupe ili tu itupendeze machoni.

Punguza jazba, punguza matusi. Mchana mwema mkuu
 
Sikuelewi hizo rangi unazishabihisha na nini!!

Back
Top Bottom