Nchi hii,ukitaka kuwa dikiteta,ni rahisi sana,unaweza ukavunja sheria unavyotaka kama ni kiongozi,Jamani wadau na wataalamu wa maswala ya sheria na utawala embu tujadili juu ya hii tabia ya Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam kubadili magari kila anapojisikia na kubandika namba ya RC. DSM. Je kisheria imekaaje maana nnavyojua Mkuu wa Mkoa anapewa gar na Serikali na linakua na namba hiyo special sasa kama inatokea kiongozi akataka kubadili inaruhusiwa na kama hairuhusiwi sheria inasemaje.View attachment 1078105
Mbona hata kwenye hii unaweka plate number yako ya ukuu wa mkoa tu!Mkuu achana na huyo kibwengo
uwa mkuu wa mkoa kunakuzuia kuwa na biashara zako binafsi? Akiliza kimaskini ni mbaya saaana!analipwa kiasi gani mpaka anunue range rover?
ana biashara gani?K
uwa mkuu wa mkoa kunakuzuia kuwa na biashara zako binafsi? Akiliza kimaskini ni mbaya saaana!
Mkuu ndo akili yako imeishia hapo kufikiri?
Point of correction mkuuu...Mkuchika ni Waziri wa Utumishi na Utawala bora sio Tamisemi, huko yuko Suleiman JaffoNchi hii,ukitaka kuwa dikiteta,ni rahisi sana,unaweza ukavunja sheria unavyotaka kama ni kiongozi,
Waziri wa Tamisemi Mkuchika,juzi alitoa Irani kwa ma RC,DC na viongozi wengine ambao wanawaweka watu ndani bila kufata sheria,kwamba wanaweza kushitakiwa kama watu binafsi,
Sasa unajiuliza yangu awamu hii iingie madarakani,hiyo imekuwa kawaida,ni mwendo wa kuwekana ndani tu,huyu waziri akuwepo wakati haya madudu yanashamiri mpaka anakurupuka Leo,mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu!
Hata Mimi ningekuwa makonda,ningetumia hiyo number plate hata kwenye gari ya demu wangu,tena Mimi ningetengeneza hata vibao vitatu,nitumie kwa magari tofauti,ufanyeje sasa!wakati nchi hii watu wana nguvu kuriko taasisi za kusimamia sheria!
Kumbuka sisi ndio walipa kodi lazima tuhojiMwanzisha mada una roho mbaya na ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa mchawi....Kama una malalamiko kuhuzu mali za huyo mkuu wa mkoa peleka Tume ya Maadili ya utumishi wa umma.
Kwa hiyo kujadili mitandaoni, unafikiri inajenga? au inabakia kuwa maneno matupu!!!!
...Duh, mkuu Papa Jiwe. Haya maswali ya namna hii ndio yanayofanya nchi hii daima kuwa 'Shamba la Bibi'!Inakusaidia nini?