D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,958
- 1,190
Maduka ya Mjini Songea yamefungwa leo, bado sijajua sababu ni ipi iliyopelekea wao kuyafunga haya maduka.
Kuna tetesi kuwa wanamuunga mkono ndugu LOWASSA.
Mwenye ukweli zaidi atujuze au ule mgomo wao na Minja ndio muendelezo?
maduka yanafunguliwa saizi mjini songea baada ya kikao cha wafanyabiashara na maafisa tra kuisha bila muafaka.