Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Waliosema lowasa hawezi kutoka nje ya dsm wapo?masela wanaita "dama dama"
Niliwaambia kuwa magufuli katangulizwa anatumia baiskeli ya mbao!!! naona sasa anapumuliwa shingoni.
Waliosema lowasa hawezi kutoka nje ya dsm wapo?masela wanaita "dama dama"
Niliwaambia kuwa magufuli katangulizwa anatumia baiskeli ya mbao!!! naona sasa anapumuliwa shingoni.
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
Kama hutaki kasage chupa, changanya na maji kisha kunywa, ni dawa!!
Mambo yote ni kwa Lowassa usikubali kupitwa wala kuacha kupiga kura kwake na wabunge , madiwani wa UKAWA