Baada ya Wema kumwaga, Diamond nae amwaga haya...

mbaya sana kutaka kumshindanisha mtoto wa kiume na wa kike!!!!!kushindana na binti kama wema kimafanikio ni kushindana na wafanyabiashara wa kiarabu na baadhi yaviongozi wa serikali indirectly!........platinumz hashindani na wema ila watu wanapamba!hawa watu wanapendana na haya mambo yote wema anayafanya kwa kupanic halafu mnyamwezi Almasi hana habari!
 
sasa hapa wema kaingia vipi wewe mtoa mada?na unaposema wasanii wabongo hamnazo unamaanisha nini ndugu???mwenzako shoo mbili tu kumi na sita mfukoni.....au unataka kusema ni ujinga kuingiza hela yote hiyo???
 
hahahaha,yan
umenifurahsha
sana,coz
ata,mie,cjaona
wema
anahusika,vp
apa,au
ndo,ile,
uwezi,mtaja
diamond
bila
ya,wema.
 
Nauliza Wema anahusikaje na huu mkataba..........Hujanijibu swali langu bado..........

Mkataba aingie Almasi kumwagana na Wema kunatoka wapi sasa????

Upo machakani Mkuu, hujaelewa mada, sio kumwagana ni "kumwaga". Wema amemwaga mali nazomiliki, magari na nyumba na kueleza uatajiri wake ni about 400M. Siku chache baada ya tukio hilo, Daimond nae ameibuka na hii ya kumwaga mkataba hadharani ili watanzania wajue kipato chake kwenye show moja haipungui 8M. Mantiki ya yeye kufanya hivi ni kana kwamba anajibu mapigo ya Wema.

Hii ndiyo msingi wa hoja. Mambo ya kuacahana etc hayatuhusu...ila kujitangaza vipato kama hivi ambavyo havilipiwi kodi inatuhusu...
 
mbaya sana kutaka kumshindanisha mtoto wa kiume na wa kike!!!!!kushindana na binti kama wema kimafanikio ni kushindana na wafanyabiashara wa kiarabu na baadhi yaviongozi wa serikali indirectly!........platinumz hashindani na wema ila watu wanapamba!hawa watu wanapendana na haya mambo yote wema anayafanya kwa kupanic halafu mnyamwezi Almasi hana habari!

Haaaa sure wema kapanic kweli,nashangaa wema katoa hela wapi ya kununua markX acha mjengo ambao hata zile peva na kigae hawezi hata kununua,mapedeshee wekezeni hela kwenye familia(elimu,vitega uchumi,mashamba na plots) na sio kuwekeza kwa hawa ma**ya wa mjini
 
Ukitaka kujua huu mkataba ni fake, angalia hapo chini Dimond kasaini wapi?? Tutoleeni Ushuzi hapa!
attachment.php
 
Milioni 16 kwa show zote hadi za lindi na songe huko? Sio kweli. Kwa kiingikio cha 5000 mkoani wakiingia watu 5000 ni 25000000, then stage, gharama ingine na ukumbi kulipia huyo promoter atapata faida ipi? Kwanza show ya watu 5000 labda sijui ni hizi fiesta ndo watu wengi kama 15000 na zaidi. Na hapo wanakuwa na list ya wanamuziki wengi sana na wengine toka marekani. Hebu waache kujishaua, bila mashabiki kulipa kiingilio wangekata viuno kwenye disco vumbi.
 
safi sana dimond .... Wenyewe wivu wasage chupa wanywe ....
 
Back
Top Bottom