Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
"Serikali ikimaliza kukagua Watumishi Hewa... iangalie na WAPENZI Hewa.. kuna watu wana mahusiano mwaka wa 3 huu Hawajawahi kupelekana kwao![emoji102] [emoji102]
Labda hiyo kazi ya kukagua wapenzi hewa waachiwe mapadre, wachungaji, na manabii."Serikali ikimaliza kukagua Watumishi Hewa... iangalie na WAPENZI Hewa.. kuna watu wana mahusiano mwaka wa 3 huu Hawajawahi kupelekana kwao![emoji102] [emoji102]