Baada ya Wana Mbeya Kumkataa Sugu na Kumkumbatia Dkt.Tulia, Maendeleo yaanza kumiminika

Mkitaka Maendeleo mtu sahihi ni muhimu na lazima.

Baada ya Wana Mbeya kumkacha na kumdamp Sugu na kuamua kwenda na Dr.Tulia Ackson(PhD) ambae ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge Duniani,sasa Mbeya imekuwa kama chemchem ya Maendeleo yaani yote yaliyokuwa yamekwama Sasa yameanza kufanyika chini ya mama connection.

Mzee au Babu Sugu (kibaraka wa Beberu USA) asijisumbue kupoteza hela zake za uzeeni kuja Kugombea Mbeya Mjini.Watu wa Mbeya sio mbumbumbu kwamba wakatae Maendelea waje kumchagua Sugu ambae licha ya kuwa Mbunge miaka 10 hana kitu hata Kimoja ambacho anaweza jivunia.

Chini ya Dk.Tulia Mbeya inaenda Kwa Kasi sana kuanzia barabara kuu ya Njia 4 ya kwanza ndefu Tanzania Hadi Chuo Kikuu Cha Udsm na Teaching Hospital.Mbeya imetulia kweli kweli na Dr.Tulia.

Mwisho,tunajua Stand Kali inakuja ila Bado jambo Moja kubwa la kupata uwanja mkubwa wa Kisasa wa michezo anuwai maana kama unavyojua Mbeya sio tuu kitovu Cha Elimu na wapambanaji balo ni tumbo la uzao wa watu wajasiri na wenye vipaji vya michezo.Teta n Bimkubwa Tupate uwanja.

Hongera sana Kwa kufanikisha upatikanaji wa eneo la ekari 1,000 ambazo JK aliziomba miaka Mingi.Sasa kazi ya Ujenzi ianze mara Moja.

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

View: https://www.instagram.com/reel/Cy3vuh-t9_r/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Ukiwa mbumbumbu unaweza fanyiwa na wenye mamlaka? Sugu ni mzigo mzigo sana Kwa Wana Mbeya kuubeba.

Wana Mbeya tulioaga hasara sana ya kuwa na Mbunge kilaza Kama Sugu.
Kwa mazingira ya siasa zetu ni ngumu sana kwenye jimbo la upinzani kupelekewa pesa za maendeleo. Siwezi mlahumu Sugu ama mpongeza Tulia kwani mazingira hayapo level
 
Majimbo mengi tuu miradi inapelekwa.

Hapo Mbeya kuanzia meya Hadi Mbunge walikuwa ni Chadema pesa wanakusanya wao kwani walikuwa wanazipeleka wapi kiasi kwamba miaka 10 hakuna Cha maana Cha kuonesha?
 
Mkitaka Maendeleo mtu sahihi ni muhimu na lazima.

Baada ya Wana Mbeya kumkacha na kumdamp Sugu na kuamua kwenda na Dr.Tulia Ackson(PhD) ambae ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge Duniani,sasa Mbeya imekuwa kama chemchem ya Maendeleo yaani yote yaliyokuwa yamekwama Sasa yameanza kufanyika chini ya mama connection.

Mzee au Babu Sugu (kibaraka wa Beberu USA) asijisumbue kupoteza hela zake za uzeeni kuja Kugombea Mbeya Mjini.Watu wa Mbeya sio mbumbumbu kwamba wakatae Maendelea waje kumchagua Sugu ambae licha ya kuwa Mbunge miaka 10 hana kitu hata Kimoja ambacho anaweza jivunia.

Chini ya Dk.Tulia Mbeya inaenda Kwa Kasi sana kuanzia barabara kuu ya Njia 4 ya kwanza ndefu Tanzania Hadi Chuo Kikuu Cha Udsm na Teaching Hospital.Mbeya imetulia kweli kweli na Dr.Tulia.

Mwisho,tunajua Stand Kali inakuja ila Bado jambo Moja kubwa la kupata uwanja mkubwa wa Kisasa wa michezo anuwai maana kama unavyojua Mbeya sio tuu kitovu Cha Elimu na wapambanaji balo ni tumbo la uzao wa watu wajasiri na wenye vipaji vya michezo.Teta n Bimkubwa Tupate uwanja.

Hongera sana Kwa kufanikisha upatikanaji wa eneo la ekari 1,000 ambazo JK aliziomba miaka Mingi.Sasa kazi ya Ujenzi ianze mara Moja.

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

Mkuu naona hujafikiri zaidi ya pua yako. Kwa taarifa yako kama is ingekuwa nguvu Mbilinyi, hayo yote usingeyaona! Na hiyo ndiyo mbinu ya upinzani!
 
Kwa nini hiyo nguvu yake asingefanga akiwa Mbunge Hadi asubirie Tulia awe Mbunge ndio iwe Nguvu ya huyo Babu Sugu?
 
Mkuu ni hivi kama Mbilinyi asingekuwa na nguvu using muongelea in such a negative way! That is the bargain power that Tulia lacks!

Wewe mwenyewe kwenye andiko lako hilo umetumia Mbilinyi's influence of power kumuelevate Tulia, kwa sababu unajua Tulia ni mabua! Tulia has nothing of substance!, she is just dry Ice!

Mkuu nikuulize Tulia katumia effort gani kufika hapo alipo zaidi ya kubebwa! I wonder if you are really from Mbeya!
 
Hana hizo Nguvu sana sana namlaumu Kwa kuirudisha nyuma maendeleo ya Mbeya Kwa miaka 10 ya Ubunge wake.
 
Mkitaka Maendeleo mtu sahihi ni muhimu na lazima.

Baada ya Wana Mbeya kumkacha na kumdamp Sugu na kuamua kwenda na Dr.Tulia Ackson(PhD) ambae ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge Duniani,sasa Mbeya imekuwa kama chemchem ya Maendeleo yaani yote yaliyokuwa yamekwama Sasa yameanza kufanyika chini ya mama connection.

Mzee au Babu Sugu (kibaraka wa Beberu USA) asijisumbue kupoteza hela zake za uzeeni kuja Kugombea Mbeya Mjini.Watu wa Mbeya sio mbumbumbu kwamba wakatae Maendelea waje kumchagua Sugu ambae licha ya kuwa Mbunge miaka 10 hana kitu hata Kimoja ambacho anaweza jivunia.

Chini ya Dk.Tulia Mbeya inaenda Kwa Kasi sana kuanzia barabara kuu ya Njia 4 ya kwanza ndefu Tanzania Hadi Chuo Kikuu Cha Udsm na Teaching Hospital.Mbeya imetulia kweli kweli na Dr.Tulia.

Mwisho,tunajua Stand Kali inakuja ila Bado jambo Moja kubwa la kupata uwanja mkubwa wa Kisasa wa michezo anuwai maana kama unavyojua Mbeya sio tuu kitovu Cha Elimu na wapambanaji balo ni tumbo la uzao wa watu wajasiri na wenye vipaji vya michezo.Teta n Bimkubwa Tupate uwanja.

Hongera sana Kwa kufanikisha upatikanaji wa eneo la ekari 1,000 ambazo JK aliziomba miaka Mingi.Sasa kazi ya Ujenzi ianze mara Moja.

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

Zee Zima linakuja ku campaign hata kabla ya muda. Stupid compaign manager
 
Hana hizo Nguvu sana sana namlaumu Kwa kuirudisha nyuma maendeleo ya Mbeya Kwa miaka 10 ya Ubunge wake.
Mkuu inaelekea hufahamu majukumu ya mbunge vizuri, na hivyo kwa mtaani unatumika kupotosha watu. Nikukumbushe tu kwa kifupi; Majukumu ya mbunge ni kuwakilisha maoni ya wanajimbo lake Bungeni, kutunga sheria na kuisimamia serikali.

Majukumu ya kuleta maendeleo ni ya serikali ambapo wawakilshi wa serikali ni wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wa halmashauri. Kwa sababu serikali ndiyo inayo mamlaka ya kukusanya kodi na kukopa!

Hata huyo Tulia unayempigia chapuo uchwara hana lolote kuhusiana na maendeleo hayo uliyoyataja hapo juu maana barabara hiyo ni mpango wa serikali wa muda mrefu. Hata hivyo barabara inaenda mpaka mkoa wa songwe ambapo Tulia hahusiki.

Swali la msingi ambalo ungepaswa kujiuliza ni;

1. Je jimbo la Ukerewe liliendelea zaidi ya majimbo mengine kwa sababu Msekwa alitoka huko?

2. Je jimbo la Urambo lilipata maendeleo makubwa zaidi ya majimbo mengine kwa sababu Sita alitoka huko?

3. Je jimbo la Kongwa limeendelea kuzidi majimbo mengine kwa sababu Ndugai anatoka huko?

4. Je kama jibu ni hapana, hata kwa Maspika wengine wa huko nyuma, unatumia mantiki gani kuwaanisha watu wa Mbeya kuwa watendelea kuliko majimbo mengine?

Mkuu usichukulie the advantages za jimbo la Mbeya kuwa mjini/jijini kudanganya watu kuwa kila maendeleo yatakayo onekana yatakuwa yameletwa na Tulia! I am very sure sio kwa watu wa Mbeya.

Tulia can only win parliamentary votes through cheating! That one I can guarantee you to the bank! I can bet my life that she can not win on fair ground!

You are just lying to yourself and your co. And that is daylight day dreaming!
 
Mambo ya kototo hayo, kayaongee shuleni.
Siasa ni maendeleo, tukichagua zezeta la kutuimbia mistari halafu unarudi nyumba yako ya ugongo na choo cha shimo, unauafadhali gani?
 
Katika vyote umeandika, vyote bado vipo kwenye hatua za mwanzo za mipango (maneno)...

Mathalani Igawa - Tunduma hata X hazijawekwa kwenye nyumba hata moja kuonesha barabara itapopita...

CCM hamna utofauti na Chadema, mnaongea siasa muda wote tu utadhani nyie ndio wapinzani...
 
Sugu alikuwa mbunge bi-show, hakuna maendeleo yoyote kitaifa aliweza kushirikiana na serikali kuanzisha.
Kama Machadema yanampenda sana basi wakampe Ubunge viti maalumu Ufipa ,Mbeya hatumtaki ametutia hasara mara 2.

Kwa taarifa Yao tuu DVC wa Udsm Prof.Anangisye ni mtoto wa Mbeya hivyo mambo ya Chuo Kikuu yataharakishwa sana.

-Chuo Kikuu
-Teaching Hospital
-Kiwanda Cha vifaa tiba

View: https://youtu.be/qwrOjc76Pag?si=MhRzzApfUU2iDkMq
 
Back
Top Bottom