Baada ya Wafanyakazi hewa, Magufuli ahamie kwa Wafanyakazi Mizigo

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,987
4,725
Hawa ni wale watumishi ambao wako kazini na tena wana wahi sana maofisini kusaini vitabu vya mahudhurio, lakini hakuna cha maana wanachofanya. Yaani hakuna lolote wanaloweza kulifanya wao kama wao.

Hawa wengine ni wanavyeti vya halali kabisa vya course zao walizosomea lakini hawajui kitu. Kada zinazoongoza kuwa na watumishi mizigo ni Procurement, Planning, IT, Accounts, Mawasiliano ya umma, Engineering na Sayansi ya jamii
 
Watumishi Mizigo ni hatari kuliko hata watumishi hewa. Maana pamoja na kwamba wanachukua mshahara wa bure, lakini kutokutimiza wajibu wao kuna gharimu maendeleo ya wananchi.

Watumbuliwe wengine wapate nafasi
 
unafiki mtupu mbona waalimu umewaacha wakati wako wengi ni walevi wa kupindukia bila pombe hata chaki hawawezi kushika ofisi ndo hawakai tu
 
Hawa ni wale watumishi ambao wako kazini na tena wana wahi sana maofisini kusaini vitabu vya mahudhurio, lakini hakuna cha maana wanachofanya. Yaani hakuna lolote wanaloweza kulifanya wao kama wao.

Hawa wengine ni wanavyeti vya halali kabisa vya course zao walizosomea lakini hawajui kitu. Kada zinazoongoza kuwa na watumishi mizigo ni Procurement, Planning, IT, Accounts, Mawasiliano ya umma, Engineering na Sayansi ya jamii
hapa takupinga labda useme unabaniwa cheque zako hazitoki kwa wakati ils kuna kada zingine mi mizigo kama maafisa utumish na kada zingine ndani ya manispaa
 
Watumishi Mizigo ni hatari kuliko hata watumishi hewa. Maana pamoja na kwamba wanachukua mshahara wa bure, lakini kutokutimiza wajibu wao kuna gharimu maendeleo ya wananchi.

Watumbuliwe wengine wapate nafasi
Dua la mwewe
 
Back
Top Bottom