Baada ya wafanya biashara kutoka Gujarat kuanza kuleta bidhaa bibi zetu walivaa hivi

Hawa wasiku hizi kila kitu fake! midomo utadhan vampires,kope ka fagio ngoja niishie hapa
Kwann skuzaliwa kale
 
Kumbe vazi la taifa lipo, First Lady’s walitakiwa wawe wanavaa hivyo ili kuenzi utamaduni wa mswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…