Baada ya wafanya biashara kutoka Gujarat kuanza kuleta bidhaa bibi zetu walivaa hivi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,564
215,040
1072614


Inaelekea huyu alikuwa mke wa Mtemi au Chifu. Amevaa nguo ya hariri.
 
Hawa wasiku hizi kila kitu fake! midomo utadhan vampires,kope ka fagio ngoja niishie hapa
Kwann skuzaliwa kale
 
Kumbe vazi la taifa lipo, First Lady’s walitakiwa wawe wanavaa hivyo ili kuenzi utamaduni wa mswahili
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom