Baada ya vita dhidi ya rushwa na wezi wa rasilimali zetu wapiga dili wanajifanya mafreedom fighter

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu,Kwanza naomba nimpongeze mh rais Dr JPM kwa kuweka masikio pamba na kutosikia lolote zaid ya vita dhidi ya rushwa na ukombozi wa rasilimali zetu ili zitumike kunufaisha majority na sio minority na kuleta mapinduzi ya kweli ya viwanda.

Rais ameingia vita inayogusa maslai ya watu wengi sana kama unavyojua wapiga dili waliota mizizi na kufika hatua ya kuabudiwa hivyo kitendo cha rais kugusq direct maslai yao kumeibua vita kubwa ya kumchafua mh Rais na sasa wapiga dili wanajifanya ni watetezi wa wanyonge na waumini wakubwa wa utawala wa sheria ili kupata huruma za wananchi.

Mfano ulio hai kwa waziri jangili leo anajifanya ana uchungu na katiba mpya.Hivi kweli mtu mwenye uchungu na nchii hii unaweza kusafirisha twiga,mtu mwenye uchungu na nchii hii ulijigaia vitalu vya uwindaji.Mtu kwel mwenye mapenzi na unaweza kusafirisha meno ya tembo?
Kuna mwingine eti anauliza ndege zinanufaisha vipi watu wa kijijini hii inanipa mashaka na elimu yake anajitoa akili na kujishushia thamani eti kisa katoshwa kwenye uwaziri.Hajui kwa kutumia biashara ya ndege nchi itaongeza pato la taifa pesa hiyo hiyo itajenga mabarabara maendeleo ya kweli ni process ya muda mrefu

watanzania hatuitaji kujua eti flani ni hafati sheria ya utawala bora watanzania hatutaki katiba mpya watanzania tunahitaji kiongozi aliyejitoa kwa ajili ya wananchi kama magufuli.Bado tuna imani kubwa na rais wetu hivyo wanafiki mnaoendeleza siasa za uchochezi ili maovu yenu yasitajwe dawa yenu inachemka ipo siku watanzania tutawajua nyie ni watu wa aina gani
 
Hiyo komenti ya kwanza imenichekesha sana eti MAMMALIA WW.. aiseee [HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
 
Wakimkosoa anaefanya muende chooni ndo mnaanza kuwaita majina mabaya,kuishi kwa kumtegemea mwanadamu ni ujinga,Lima hata bustani uuze nyanya utapata heshima,kujipendekeza huzaa dharau
 
Wapiga dili makazi na makao yao makuu ni lumumba,hakuna fisadi nje ya chama chakavu,makada,wabunge,wajumbe wa nec wote mafisadi
 
tunataka maendeleo watanzaniq hatutakula katiba mpya tutapit kwenye barabara
Tulikosea sana kudai Uhuru,ilipswa mpaka sasa tuwe chini ya uangalizi wa wakoloni,kwa akili hii isiyojua thamani ya katiba na mchango wake kwa maendeleo
Utumwa haujaisha
 
Habari wakuu,Kwanza naomba nimpongeze mh rais Dr JPM kwa kuweka masikio pamba na kutosikia lolote zaid ya vita dhidi ya rushwa na ukombozi wa rasilimali zetu ili zitumike kunufaisha majority na sio minority na kuleta mapinduzi ya kweli ya viwanda.

Rais ameingia vita inayogusa maslai ya watu wengi sana kama unavyojua wapiga dili waliota mizizi na kufika hatua ya kuabudiwa hivyo kitendo cha rais kugusq direct maslai yao kumeibua vita kubwa ya kumchafua mh Rais na sasa wapiga dili wanajifanya ni watetezi wa wanyonge na waumini wakubwa wa utawala wa sheria ili kupata huruma za wananchi.

Mfano ulio hai kwa waziri jangili leo anajifanya ana uchungu na katiba mpya.Hivi kweli mtu mwenye uchungu na nchii hii unaweza kusafirisha twiga,mtu mwenye uchungu na nchii hii ulijigaia vitalu vya uwindaji.Mtu kwel mwenye mapenzi na unaweza kusafirisha meno ya tembo?
Kuna mwingine eti anauliza ndege zinanufaisha vipi watu wa kijijini hii inanipa mashaka na elimu yake anajitoa akili na kujishushia thamani eti kisa katoshwa kwenye uwaziri.Hajui kwa kutumia biashara ya ndege nchi itaongeza pato la taifa pesa hiyo hiyo itajenga mabarabara maendeleo ya kweli ni process ya muda mrefu

watanzania hatuitaji kujua eti flani ni hafati sheria ya utawala bora watanzania hatutaki katiba mpya watanzania tunahitaji kiongozi aliyejitoa kwa ajili ya wananchi kama magufuli.Bado tuna imani kubwa na rais wetu hivyo wanafiki mnaoendeleza siasa za uchochezi ili maovu yenu yasitajwe dawa yenu inachemka ipo siku watanzania tutawajua nyie ni watu wa aina gani
Wasipo jipanga watapangwa magufuli oyeee
 
Back
Top Bottom