Baada ya viroba kupigwa marufuku

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,012
252e2f235ea6050c5d11fa5d97168ec9.jpg
 
Vijana akili zitarudi tuu, naomba watu wa kusimamia sheria wakomae kabisa na hili1. unga thibiti 2. andas thibiti 3. msuba thibiti 4. viroba kanyagia kabisa. Taifa tayari lilishabadilika kuwa na vichaa na magojwa mengine ya moyo kumbe chanzo ni madawa ya kulevya??????
 
Watafanya hivyo wachache sana mana sidhani hata kama bei zinalingana. Walivizowea vile kwa kuwa vilikuwa vya bei rahisi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom