tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,195
UnambwatoMaKu
UnambwatoMaKu
Man UnitedAnachezea timu gani?
Kwani dogo janja ndio kampokonya??Ila bongo movie wanajua kuua vipaji huyu msakata kabumbu naye amekua mzee wa vijembe! ila inaumwa kupokonywa mke doh,
Naona mwanaume kuachwa huwa inauma sana! Alijitahidi kuonyesha alimove on!Nachukia Sana Mapenzi Ya Kushindana Aithee
Aya Mambo Wanafanya watoto Wa Darasa La Saba Aitheeee
Teh teh sasa huyu dogo janja ana mkwanja wa kumuweka Uwoya??Alikua anacheza Cyprus huko timu ya kawaida tu. Sema ulimbukeni ukamfanya ajue Bonge la timu kumbe ni kama kinamsuva tu.