Yako kwa mwenzeu ndomana mnaongea
Ndiku siyo wakwanza kufanya hivo ila kwakuwa wengiwenu ndo mnakuwa wakubwa sasaivi natumai mengi hamja yaona
Iko hivi mtu unamuacha mke/mume utafurahi kila ukipita umuone yupoyupo tu ila siku ukisikia anatoka na mtu mara unaanza kujenga mabifu na huyo mtu haya mambo tumeyashudia sana.
Nayie ngoja tuwaache mkuwe kwanza mtayaona mengi ukiambiwa Kuwauyaone siyo maghorofa