Baada ya Uwoya kuonekana ameolewa, mume wake ajibu mapigo

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,766




Aliyekuwa mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Uwoya, mcheza soka kutoka nchini Burundi Hamad Ndikumana, ameonyesha kujibu mapigo baada ya mwenza wake kuonekana kuolewa, kwa kupost picha akiwa na mwanamke mwengine.

Kwenye ukurasa wake wa instagram Ndikumana amepost picha hizo, huku akiandika ujumbe kama ambao unaonekana ni kurusha vijembe kwa mwenza wake huyo, ambaye hivi karibuni alimuandikia waraka kuanika yale aliyokuwa akithubutu kuyafanya, na kusema yuko tayari kutoa talaka.

Wawili hao walifunga ndoa takatifu katika kanisa la Mtakatifu Joseph la Jijini Dar es salaam, na kutengana baada ya muda mfupi wa ndoa yao, huku kukiwa na tetesi kuwa hakuna maelewano baina yao.

Tazama mapicha aliyopost Ndikumana


Muungwana
 
Ndiku ameonyesha kuwa ana stress na imemuuma.
The more anavyo jitahidi kuonyesha kuwa yuko sawa, ndivyo anadhihirisha kuwa ana stress.
 
Ukimwacha mtu kiroho safi kwa nn uendelee kufuatilia....
 
Yako kwa mwenzeu ndomana mnaongea

Ndiku siyo wakwanza kufanya hivo ila kwakuwa wengiwenu ndo mnakuwa wakubwa sasaivi natumai mengi hamja yaona

Iko hivi mtu unamuacha mke/mume utafurahi kila ukipita umuone yupoyupo tu ila siku ukisikia anatoka na mtu mara unaanza kujenga mabifu na huyo mtu haya mambo tumeyashudia sana.

Nayie ngoja tuwaache mkuwe kwanza mtayaona mengi ukiambiwa Kuwauyaone siyo maghorofa
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom