Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 770
- 1,433
Kumbe sindano inawapata saafi saaana.
Sikujua Ukubwa wa Ujinga wako sasa naaza kuujua kwani Wananchi wa Kanda ya Ziwa shida zao ni CHEO KISICHO kwenye Katiba cha Unaibu WAZIRI Mkuu?Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu
Inasemekana baada ya Dkt. Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda
Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude
Mlale Unono!
Hivi Luca amekula teuzi?Utakumbukwa na wewe, tia bidii kama yule Lucas mwashambwa