Ni kumwombea afya njema tu maana Mungu ni mmojaWa Lutheran tuna comment wapi ?
I can't believe this is something natural. Kuna watu huwa hawataki kuacha madarakaTatizo hilo linasababishwa na nini? Au ni ule unga wawasio julijulikana
Hutokea pale mishipa inayopeleka damu sehemu mbali mbali inavyopasuka na damu kuvilia kwenye ubongo.. ndo inabidi itolewe na ili isiendeleee kuleta madhara makubwaTatizo hilo linasababishwa na nini? Au ni ule unga wawasio julijulikana
Unataka kusema jamaa aliyetoka hataki kuachia kijiti au kuna mpinzani wake alikua anakitaka cheo?!I can't believe this is something natural. Kuna watu huwa hawataki kuacha madaraka
Tungejua vizuri kila mtu ni nani, tungekimbianaUnataka kusema jamaa aliyetoka hataki kuachia kijiti au kuna mpinzani wake alikua anakitaka cheo?!
Tunamuombea kupitia mama bikira maria uponyaji wa haraka.
Muombee kwa Yesu au Mungu mama Maria amesha kufaMama Bikira Maria wewe ni ni mama wa msaada, ni kimbilio la wenye shida mama, tazama mama mwanao anateseka kwa maumivu makali, mama tunakulilia tunaomba msaada wako wa maombezi. Kumbuka pale msalabani Yesu alimwambia yule mwanafunzi wake amtazame mama yake, pia ulimwambia mama amtazame mwanae. Tunakuja kwako mama, tunakulilia, msaidie baba Rwaichi apone haraka.
Povu ruksa kwa wale wanaopinga. Ila ndio nishaomba hivyo, na nina amini Mama yetu Bikira Maria atafanya yake na mhashamu atapona soon
Ngoja nikumwagie povuMama Bikira Maria wewe ni ni mama wa msaada, ni kimbilio la wenye shida mama, tazama mama mwanao anateseka kwa maumivu makali, mama tunakulilia tunaomba msaada wako wa maombezi. Kumbuka pale msalabani Yesu alimwambia yule mwanafunzi wake amtazame mama yake, pia ulimwambia mama amtazame mwanae. Tunakuja kwako mama, tunakulilia, msaidie baba Rwaichi apone haraka.
Povu ruksa kwa wale wanaopinga. Ila ndio nishaomba hivyo, na nina amini Mama yetu Bikira Maria atafanya yake na mhashamu atapona soon
Tunamuombea kupitia mama bikira maria uponyaji wa haraka.
Mama Bikira Maria wewe ni ni mama wa msaada, ni kimbilio la wenye shida mama, tazama mama mwanao anateseka kwa maumivu makali, mama tunakulilia tunaomba msaada wako wa maombezi. Kumbuka pale msalabani Yesu alimwambia yule mwanafunzi wake amtazame mama yake, pia ulimwambia mama amtazame mwanae. Tunakuja kwako mama, tunakulilia, msaidie baba Rwaichi apone haraka.
Povu ruksa kwa wale wanaopinga. Ila ndio nishaomba hivyo, na nina amini Mama yetu Bikira Maria atafanya yake na mhashamu atapona soon
Ameomba kwa imani yake, nawe pia badala ya kukosoa, omba kwa imani yako au ukae kimyaMuombee kwa Yesu au Mungu mama Maria amesha kufa
Mizimu ya mababu zangu imponye arudi katika hali ya kawaidaAmeomba kwa imani yake, nawe pia badala ya kukosoa, omba kwa imani yako au ukae kimya