sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Alafu hiv kwan diamond ndio yeye pekee tu?
Mbona allykiba hawamsumbui
View attachment 1815653
Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika
ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.
Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo
Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia nyingine ya lavalava na mbosso ila nayo haikufanikiwa kuipiku kazi ya Rapcha.
Nadhani ni wakati P-Funk ajuehuu mziki wa sasa ushindani ni mkli sana na wasanii kusapotiana imekuwa nadra sio kama zamani.
Ila pia atambue kwamba dogotueipenda kazi yake na ndio maana hadi saizi kakamata namba 1 youtube.
View attachment 1815682
Hiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi?
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kweny page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube
Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtak Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...
Si unajua mambo ya connectionsapoti inafosiwa,bongo nyoso
Heri P-funk angekaa kimya tu, watu naona wamekomaa eti imepostiwa WasafiSi unajua mambo ya connection
Angemtumia dm siyo kupost kama ivyoSi unajua mambo ya connection
Alieambiwa apost ni Diamond we unaleta ishu za wasafi, ni kama vile mtu hajaja msibani yeye katuma mwakilishi, ama umeombwa kwenda kumuombea mtu fulani sapoti wewe unatuma watu wengine, angetaka wasafi wapost sidhani kama kungekuwa na haja ya kupost huo ujumbe uliomhusu Diamond moja kwa mojaHuenda ww ndio hujaelewa ulichopost....BS
Amuombe Vanny boy mtu mbad ampostie ni mkweweheri P-funk angekaa kiya tu, watu naona wamekomaa eti imepostiwa wasafini kama vile mtu hajaja msibani yeye katuma mwakilishi.
Ustaa ni mzigo wa mibaheri P-funk angekaa kiya tu, watu naona wamekomaa eti imepostiwa wasafini kama vile mtu hajaja msibani yeye katuma mwakilishi.
Nyie watu bhana! Kwahiyo unataka kusema WCB na Diamond wanamuonea wivu Rapcha, au?! For what I know, sijawahi kuona Diamond aki-post ngoma za wasanii wengine ukiacha wale wa Wasafi!! Na kwavile Rapcha alishaachia ngoma, ndo mlitarajia Wasanii wengine wasi-post ngoma YouTube?! Au ni Wasafi peke yake ndio walitakiwa kuto-upload ngoma YouTube kwa kuwa Rapcha kaachia ya kwake? Ajabu zaidi, ngoma ya Rapcha inaonekana imepostiwa June 7, na ile ya akina Mbosso ni June 9! Sasa hayo unayoita "haikupita masaa mengi", ulitaka yapite masaa mangapi?ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.
Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo
Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia nyingine ya lavalava na mbosso ila nayo haikufanikiwa kuipiku kazi ya Rapcha.
Nadhani ni wakati P-Funk ajuehuu mziki wa sasa ushindani ni mkli sana na wasanii kusapotiana imekuwa nadra sio kama zamani.
Ila pia atambue kwamba dogotueipenda kazi yake na ndio maana hadi saizi kakamata namba 1 youtube.
Endeleeni kumtaka Diamond apost kazi zenu.alieambiwa apost ni Diamond we unaleta ishu za wasafi, ni kama vile mtu hajaja msibani yeye katuma mwakilishi.
Hata mimi nimeionea kwenye page ya Wasafi TV, ndipo nikaifuata YouTubeHiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi?
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kwenye page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube
Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtaka Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...
Namshangaa mtoa mada sijui kaandika nini hiki.Hata mimi nimeionea kwenye page ya Wasafi TV, ndipo nikaifuata YouTube
Nyie watu bhana! Kwahiyo unataka kusema WCB na Diamond wanamuonea wivu Rapcha, au?! For what I know, sijawahi kuona Diamond aki-post ngoma za wasanii wengine ukiacha wale wa Wasafi!! Na kwavile Rapcha alishaachia ngoma, ndo mlitarajia Wasanii wengine wasi-post ngoma YouTube?! Au ni Wasafi peke yake ndio walitakiwa kuto-upload ngoma YouTuibe kwa kuwa Rapcha kaachia ya kwake? Ajabu zaidi, ngoma ya Rapcha inaonekana imepostiwa July 7, na ile ya akina Mbosso ni July 9! Sasa hayo unayooita "hakiupita masaa mengi", ulitaka yapite masaa mangapi?