Baada ya TRA kuvuka malengo, Halmashauri nazo zavuka malengo ya Makusanyo ya Mapato ya ndani kwa asilimia 107%

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Akitoa taarifa ya Makusanyo na matumizi kwa Halmashauri kwa kipindi cha nusu mwaka(July- December 2021/2022,Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa amesema Halmashauri zimevuka malengo ya Makusanyo Kwa kukusanya sh.Bilioni 470 sawa na asilimia 107% ya lengo.

Aidha Makusanyo yameongezeka kwa bil.80 zaidi ukilinganishwa na makusanyo ya mwaka 2020..

My take..
Samia anazidi kuupiga mwingi, hongera Sana. Tunaomba usimamizi wa matumizi ya pesa uendane na thamani ya halisi ya miradi inayotekelezwa.

Screenshot_20220128-230952.png
 
Attachments

  • TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI - ROBO YA PILI 2021-22 JAN 2022.pdf
    544.8 KB · Views: 6
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Akitoa taarifa ya Makusanyo na matumizi kwa Halmashauri kwa kipindi cha nusu mwaka(July- December 2021/2022,Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa amesema Halmashauri zimevuka malengo ya Makusanyo Kwa kukusanya sh.Bilioni 470 sawa na asilimia 107% ya lengo.

Aidha Makusanyo yameongezeka kwa bil.80 zaidi ukilinganishwa na makusanyo ya mwaka 2020..

My take..
Samia anazidi kuupiga mwingi, hongera Sana. Tunaomba usimamizi wa matumizi ya pesa uendane na thamani ya halisi ya miradi inayotekelezwa.

View attachment 2099063
Tukiacha bias zetu, Serikali ya awamu ya Sita inafanya mambo makubwa sana kirahisi,

Tanzania tumepata mtu anayefanya vitu vyetu kwa vitendo
 
Tuone matumizi siyo kwenye makaratasi na kuonesha sura zenu kwa tv. Huu si ukweli. Pambeni tu mdoli uwateue
 
Hapo kwenye matumizi na miladi kuendana na makusanyo ndo pakuishauri serikali wawe wawazi, namakini pia katika matumizi
Waziri katoa maelekezo kwa Wakuu wa Mikoa kwamba walivyosimamia miradi ya uviko ndivyo pia wasimamie matumizi ya miradi ya Makusanyo ya ndani.
 
Back
Top Bottom