The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,380
- 8,432
Heri ya mwaka mpya ndugu wanajukwaa..
Moja kwa Moja niende kwenye mada.
Hivi niulize kwamba kila Waziri anakuja na Utaratibu wake huko Tamisemi?
Wakati Waziri Bashungwa na Jafo wakiwa Tamisemi,kukokuwa na Utaratibu wa kutoa taarifa za makusanyo ya Halmashauri kila robo mwaka na kushindanisha ufanisi.
Taarifa hizi zilikuwa Zina umuhimu kwa ajili ya kupima ufanisi wa malengo ya makusanyo na kufanya tathmini ya Utendaji kazi wa Wakurugenzi na Halmashauri kwa ujumla..
Lakini toka ameingia Waziri Kairuki,Hakuna taarifa zozote za Makusanyo ya mapato ya Halmashauri.Haieleweki kwamba shida Ni Waziri au tatizo Nini?
Ni vyema Tamisemi wakabainisha Kama huo ulikuwa Ni utaratibu wa Waziri binafsi,mbona TRA wanatoa updates? Kwa Nini Tamisemi?