Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
It's called Post Coital Tristesse (PCT). It is a common 'condition', inatokea kwa wanaume zaidi ila hata wanawake huwatokea. Kuna maelezo mbali mbali kuhusina na hilo, moja ikiwa: you are tense and focussed before sex, you think too much about it and all you want is to have sex for your pleasure. Sasa ukisha pata ulicho taka ndio unakumbuka mambo mengine yote kama mapenzi yako kwa muhusika (or lack thereof), kazi zako ulizo ziacha pending, efforts ulizo invest katika kuhakikisha unapata sex etc. That is what makes you sad. Na ukitoka 'eneo latukio' na kuanza kujishughulisha tena, unahisi sadness (tristesse) inaisha pole pole.
A solution would be to think about the aftermath of the sexual intercause before it happens. Just plan to go out with her, au panga maongezi before you have sex. Pia don't stop doing anything important just because you don't want to miss the oppportunity of having sex.
Unaweza kupitia hapa kwa maongezi kuhusi hiyo 'condition' (which is not so much of a condition nadhani):
Sadness After Sex is a Real Condition
ndugu zangu na marafiki leo nimeona bora nizungumzie juu ya mambo ambayo nakutana nayo niwapo na mwenzi wangu. Mwenzenu ninapokuwa na mpenzi kama kama kawaida yetu sisi wanaume kuomba penzi lakini nimalizapo ku do naye huwa najisikia aibu nakosa neno la kuongea naye wakati mwingine huwa najilaumu hivi kwa nini nafanya haya je wenzangu mnajisikiaje mmalizapo ku do?
ndugu zangu na marafiki leo nimeona bora nizungumzie juu ya mambo ambayo nakutana nayo niwapo na mwenzi wangu. Mwenzenu ninapokuwa na mpenzi kama kama kawaida yetu sisi wanaume kuomba penzi lakini nimalizapo ku do naye huwa najisikia aibu nakosa neno la kuongea naye wakati mwingine huwa najilaumu hivi kwa nini nafanya haya je wenzangu mnajisikiaje mmalizapo ku do?
Your explanation cuts across all fields-, it is scientific, psychological and social. Energy spent-scientific, the act itself-psychological, social- expenses incurred in terms of time, monies etc.
There is a joke about this guy who looks at a not-so-attractive-girl and he goes like: you are my breathalyser tonight. If you become beautiful, then I know I am drunk (mean but funny!)Hii imenikumbushia ile movie ya "More Money" mmojawapo wa wale Wayans brothers alipoamka asubuhi na kuanza kupiga kelele "It wasnt me" baada ya kumtizama vyema bidada aliyejivinjari naye usiku kucha baada ya kuponda raha na mipombe.
Mazingira hayo mara pengi ni ya kwenye pombe.This is the other reason unaweza ku regret, ni wazi uzuri wa mwanadada machoni pa mwanaume unakuwa waay magnified baada ya kilaji kukolea.
mimi huwa naunganisha bao mbili kwa moja na nikimaliza macho makavu yeye ndo anajificha,chezeyaaa mimi
La Jeneral:..kiboko
Ha ha ha!BTW unadhani kwanini watu na heshma zao wanapiga mabaamedi?Pombe mwanaharamu!There is a joke about this guy who looks at a not-so-attractive-girl and he goes like: you are my breathalyser tonight. If you become beautiful, then I know I am drunk (mean but funny!)