Baada Ya Swala Ya Ijumaa Rais Mubarak Kung'olewa Leo

Baada Ya Swala Ya Ijumaa Rais Mubarak Kung'olewa Leo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,311
Waandamanaji nchini Misri wanatarajia leo kufanya maandamano makubwa ya kumng'oa Rais Hosni Mubarak baada ya swala ya ijumaa. Maandamano hayo yaliopewa jina la siku ya kuondoka Mubarak kwa mujibu wa waandamanaji hao yatahakikisha Rais Mubarak (82) anaondoka madarakani leo ijumaa.Yetu macho Tanzania.
 
naaam na jamaa ndio weshasali Ijumaaa, na wanasema waislamu kwa wakristo wameungana kumuondoa Dikteta

naona wanaimba nyimbo za hamasa, katika bustani ya tahriri
 
Back
Top Bottom