Baada ya SUGU Kupachimba..TBC yarusha habari ya CHADEMA kuhusu Zitto

Kuna media boycott ilikuwa inaendelea kati ya makampuni makubwa ya biashara. TBCCM wamegundua kuwa coverage yao na audience imepungua so matangazo ya biashara yameshuka sana ndo maana wameamua kujikosha. Wanafiki wakubwa!
 
Tatizo vijana wa bavicha hamjui kinachoendelea. Chadema ilikataza TBC kurusha habari zake yenyewe.

Msiwe na kumbukumbu fupi vijana wa bavicha...

Lakini issue kubwa ni haki ya watanzania hata wasio washabiki wa vyama kupata habari za vyama vyote wawe bavicha wamekataza tbc kurusha matangazo ya chadema au la! mtanzania ana haki ya kupata habari kwa kua tbc sio ya ccm pekee,inatumia kodi za watanzania wote
 
Lakini hata jana tbc walirusha habari ya Dr. SLAA
Ni kweli hata mimi jana niliona TBC 1,wakimrusha Dr Slaa,kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

Inawezekana TBC,wameamua kwa kuwa chombo hicho ni cha umma,kinacholipiwa kodi na wananchi wote wa TZ,na kwa kuwa weshabaini kila siku zinavyosonga mbele,ndivyo Chadema inavyozidi kupata umaarufu mkubwa,na wao CCM,wanazidi kuporomoka umaarufu wao kwa kasi kubwa ya ajabu,kwa hiyo TBC wameona ni bora habari zao wazibalance,na wao TBC wajisogeze karibu zaidi na chama tawala,baada ya mwaka 2015,ambacho si kingine,bali ni CDM!
 
POLENI MNAFATILIA HABARI ZA TBC,nilikuwa nimeshasahau kama tbc huwa inahabari.
NILIBAKI KUANGALIA BUNGE PEKEE MANA WALISHAWAKATAZA STAR TIVE KURUSHA MATANGAZO BUNGENI.
 
Wanarazimika kufanya hivyo la sivyo wachache watakaoendelea kuangalia tbccm na propaganda chafu za kina Zambi wanaweza kuizamisha tzn ktk hali ya sintofahamu. Hivyo kwa kuonesha umma wa watanzania kinachiendelea kutasaidia asiwepo hata mmoja wakudanganywa na magamba.
 
Hii ni QUOTE ya SUGU "I’m just a boy from the streets, doing peoples job in the parliament..."
I like it like a quote from Julia Roberts in one of her films she played: ' I am just a girl, standing in front of a boy, asking him to love her' or " I am jusdt an ordinary person who has an extraordinary job"
 
Ukikamata madaraka ya nchi ndipo utajua umuhimu wa TBC na Daily News.Msiwaonee, hawa jamaa wanafanyia kazi serikali iliyopo madarakani!Siku Chadema ikishika nchi lazima wataifanyia kazi Chadema kama vile CCM hawaijui vile!
 
Tatizo vijana wa bavicha hamjui kinachoendelea. Chadema ilikataza TBC kurusha habari zake yenyewe.

Msiwe na kumbukumbu fupi vijana wa bavicha...

Buku Saba FC.

Bavicha ndiyo habari ya mujini. Uvccm mmechagua wazee na kuacha vijana wanaostahili, matokeo yake hakuna kinachoendelea huko.
 

Hii ni QUOTE ya SUGU "I’m just a boy from the streets, doing peoples job in the parliament..."

Nilisubiri sana hotuba yake. Na leo nimekubali kwa moyo wote kuwa its worth it.Viwango duni CCM wamepigwa score kila eneo.Ukimya uliokuwepo haujawahi tokea zaidi ya hotuba za wasemaji wa CDM.
Mchungaji Zambi,kweli ni Zambi.Hajua alichokuwa akitetea na ameishia kuwa kama mwehu.

Anaita kitu walichoshindwa jitetea wakuu wake ni uongo.Hotuba ilikuwa na ushahidi wa hapohapo huyu anayejiita mchungaji,kutoka sehemu inayochuna ngozi anadai kuwa ni uongo na uchonganishi?


Wanamwita hajasoma ,watuambie kwanini hawajawasomesha?
 
Wameshindana nao ila bado sana wamewashindwa sasa unganeni nao
 
Hv cdm wanaelewa hatari ya huyu jamaa? Zito ni mzigo, watakapotambua itakuwa too late
 
Back
Top Bottom