Hii meseji hata kama haitafanikiwa but ni ishara tosha kua wananchi tumechoshwa na udhalimu wa hawa wazushi.
Kila mahali ni vilio vya vijana juu ya mambo yao mablimbali,
Wamachinga Vijana wanalia juu ya mustakabali wa maisha yao,
Wasomi Vijana wanalia nao juu ya Ada kubwa na ugumu wa kupata mikopo,
Wafanyakazi watarajiwa vijana (graduates) ndio kabisaa ajira hazipatikani,
But serikali inasahau kua Vijana ndio kundi kubwa katika jamii, "this is a timed bomb", iko siku kwa kweli!!!