Baada ya Polisi, Wakaguliwe Walimu na Wauguzi na wengineo

Baada ya Polisi, Wakaguliwe Walimu na Wauguzi na wengineo

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,365
Reaction score
100,406
Si tumeamua kila mwenye wadhifa wake! Basi Walimu nao wakaguliwe kama wamejiandikisha! Kisha wafuate Madaktari na wauguzi, jeshi la Magereza na JWTZ, wote wakuu wao wawakague, tena shahada zao zinakiliwe kwa ufasaha!

Machinga wakaguliwe nao! wapiga debe wakaguliwe nao! Kila mtu atunge sheria ya kuwakagua watu wa kada yake, hili jipya! Basi tulikubali. IGP kaonyesha mfano, tutamfuata, tukague na wana familia wetu, kama hujajiandikisha ule bakora!!

Ni utaratibu wa ajabu kweli, lakini basi tuukubali tu. Si IGP kaonyesha mfano? Huku ni kukurupuka! IGP atulie atafute namna njema ya kusimamia uchaguzi ili haki itendeke.
 
Back
Top Bottom