dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,420
- 19,448
Samahani hiyo sentensi ya mwisho inamaana ganiNdoa zimekuwa kosovo.Kama mkiona hampo kwenye frequence moja bora muachane. Hii zama za mpaka kifo kitutenganishe,yaweza kuwa mwenza wako ndo anakuwa chanzo cha kifo chako.
Il vaut mieux être seul que mal accompagné.