Baada ya Nyerere, Magufuli ndiye atakuwa Rais ya pili kuacha living legacy

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,312
BAADA YA NYERERE, MAGUFULI NDIYE ATAKUWA RAIS WA PILI KUACHA LIVING LEGACY.

Wakuu habari za saa hizi. Heri ya mwaka mpya nyote na hongereni kwa kuuanza mwaka vizuri kabsa, kama wewe umeuanza ndivyo sivyo basi nikupe pole sana.

Naomba niende directly kama heading inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba baada ya JKN kuacha legacy inayoishi mpaka leo hapa nchini mwetu kutokana na uongozi uliotukuka, nadhani hakutokea kiongozi mwingine ambaye aliacha legacy ya namna ile tena. Kwa sasa tunaye kiongozi mwingine tena ambaye mpaka anaondoka madarakani naamini atakuwa ameacha legacy kubwa sana kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Nasema hivyo kwa sababu tofauti na marais wengine waliopita kuanzia awamu ya pili hadi ya nne, huyu wa sasa JPM ana caliber sawa na muasisi wa taifa letu JKN. Mbali na kutimiza yale yaliyo kwenye ilani zao za chaguzi, hawa watu wawili JKN & JPM wana extra characters zinazofanana ambazo ni inner motive na uthubutu.

Mbali na kutimiza ilani zao walizowaahidi wananchi, marais wenye uono wa mbali hujitahidi kufanya mambo ambayo yatasaidia taifa na kizazi kijacho. Kama kiongozi wa nchi ni vizuri kuwa na vision ya mbali. Lazima uwe adaptable na sio kutegemea yaliyo kwenye ilani tu.

Ukiangalia nchi zilizoendelea ambazo sisi huwa tunajifanya kuwacopy na kupaste, viongozi wao wa nchi huwa wana visions za mbali na ndizo ambazo huwavutia wananchi kuwachagua. Mfano Obama na mapinduzi ya mfumo wa afya nchini mwake, Trump na sera yake ya ujenzi wa ukuta kwenye mpaka wa nchi yake na Mexico.

Kinachowafelishaga mara nyingi hawa viongozi wenye visions zao binafsi huwa ni aina ya missions wanazotumia. Unaweza ukawa na visions nzuri lkn missions utakazotumia zikashindwa kueleweka kabisa na watu wako. Mfano Trump na mpango wake wa ukuta.

Lakini kwetu sisi Waafrika hasa sisi Watanzania huwa hatuna muda wa kuwasoma na kuelewa inner motives za viongozi wetu. Viongozi wenye uthubutu wanaonekana wana motives negatives kwenye mataifa yao hata kama sio kweli. Wananchi hawataki kuwaelewa viongozi wao bali wanafanya conclusions ambazo zimebase kwenye maneno ya pembeni.

Hivyo Watanzania wenzangu nawaomba tumuunge mkono rais wetu kwani ana visions za mbali japo wengi wetu bado hatuoni. Tufanye maamuzi angali mapema tusijejuta baadaye. Rais wetu ana visions za mbali na uthubutu wake tunapaswa kuunga mkono kwani ni mara chache sana kupata viongozi wenye caliber kama yake.

Rais wetu ni lulu ambayo mataifa mengi yanatamani angekuwa rais wao japo kwa mwaka mmoja tuu. Let us sit down na tumsome ni wapi anatamani atuache kama nchi pindi akiondoka madarakani. Inaonekana hata viongozi wengi wa ngazi za juu na chini wameshindwa kumsoma rais wetu ndo mana juzijuzi alisisitiza watu wafanye kazi zao kwa kuzingatia taratibu na sheria na waache kutimiza majukumu yao kwa reference ya maelekezo toka ngazi za juu. Viongozi na raia wa kawaida tujaribu kumsoma rais wetu anamaanisha nini ili tumuelewe na kumuunga mkono ili tusonge pamoja kama taifa.

Hakuna rais ambaye ataingia madarakani akakosa kuwa na weakness. Kila mtu ana weaknesses. Ni wajibu wetu kama raia tulitambue hilo. No president who was/will be perfect 100%. Wajibu wetu kama raia ni kuziacha hizo weaknesses na tudeal na yale mazuri anayoyafanya rais wetu. Strengths ni nyingi sana kuliko hizo weaknesses ambazo tunakaa kudeal nazo kwa nguvu kubwa. Hizo nguvu kubwa ni bora tungezielekeza kwenye kumsupport ili tusonge mbele kwa pamoja kama nchi.

Najua ntapingwa sana ila time will tell.
 
Unaweza ukakuta huyu ni wadarasa la saba anajua kusoma na kuandika tu........hilo ndo tatizo la mfumo wetu wa elimu hauzalishi 'critical thinker'.......wote tunatumia Kiswahili, wa darasa la saba na wa PHD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hata mkimpigia debe kivipi ni bomu, mikono yake imejaa damu za watanzania wasio na hatia, hafai na Mungu atamlipa hapahapa duniani
 
Hata Iddi Amin Dada aliacha living legacy.
 
Legacy yake ni hii....... cheza hiyo video
 
Uganda ni rais mmoja tu aliacha "legacy" - Iddi Amini.

ninaamini history ya huyo nduli unaifahamu vyema!!
 
Mi nayakubari haya ulio yaweka hapa, na pia najua wapo watakao kuelewa like me pia watakao kuponda kulingana na ss wapinzani tulivyo.

Nasema hivyo kwasababu watanzania tulio wengi hua tunaangali Yale yalio feli tu! Na tukasimama hapo,
Kama kuna upande mipango imeenda sawa tupo tayari kuigeuza iwe kinyume.

Naishia hapo ngoja waje na fimbo zao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom