Hii kampeni itamponza jamaa akae benchi la akina Hashim Rungwe
Habari wakuu,
Baada Ya Nyerere, Lissu Ndio Mwanasiasa Mwenye Uwezo Wa Kuona Mbali Kwa Faida Ya Taifa, Baada Ya Nyerere, Tundu Lissu Ndio Mwanasiasa Mwenye Uwezo Wa Kuwakemea Watawala Bila Haya Na Bila Woga! Inawezekana Kuna Wengine Ila Maadam Walichagua Kukaa Kimyaa, Bhasi Hawawezi Kuhesabiwa!
Mtu anapodai kuwa hatakubali rais wake apingwe anamwaibisha rais,anaumba hatari asiyoelewa madhara yake.
mr mkiki.
Mpinzani kampiga risasi 38? Viongozi waoga huishia kuwa wauaji . Japokuwa Nyerere hakukutana na mpinzani kama wa Lissu. Risasi 38? Hakika bora shetani kuliko magufuli maana shetani hutumia akili tu lakini Magufuli anatumia akili na Risasi pia kuwachukuwa watu.Kwa hjyo kumbe kwa macho ya chadema hajamzidi Nyerere? Kwa nini useme baada ya Nyerere?
Wakati nyinyi wenye madaraka mpaka sasa hakuna sekta mliyo ikamilisha kwa asilimia 60 kwa miaka 50 sasa.🤣🤣
CDM mnachekesha sana na sifa za uongo na kwel mnazompa Lissu
ivi lissu kafanya nn cha maana au kaweka maono gani yenye manufaa ya taifa zaidi ya kupinga kila kitu na kuombea serikali isifanikiwe ili apate sifa
Watu wanao msifia Lissu waga nawashangaa sana