Baada ya Nyerere, Lissu ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kuona mbali kwa faida ya Taifa.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,581
11,658
Habari wakuu,

Baada Ya Nyerere, Lissu Ndio Mwanasiasa Mwenye Uwezo Wa Kuona Mbali Kwa Faida Ya Taifa, Baada Ya Nyerere, Tundu Lissu Ndio Mwanasiasa Mwenye Uwezo Wa Kuwakemea Watawala Bila Haya Na Bila Woga! Inawezekana Kuna Wengine Ila Maadam Walichagua Kukaa Kimyaa, Bhasi Hawawezi Kuhesabiwa!

Mtu anapodai kuwa hatakubali rais wake apingwe anamwaibisha rais,anaumba hatari asiyoelewa madhara yake.

mr mkiki.
 
Lumumba watakupinga. Vigezo vyao Ni think tanks wao ambao ni Msukuma, Kibajaji na yule mama anayetaka machine za kuchunguza magovi bungeni.
 
Kwa hjyo kumbe kwa macho ya chadema hajamzidi Nyerere? Kwa nini useme baada ya Nyerere?
Mpinzani kampiga risasi 38? Viongozi waoga huishia kuwa wauaji . Japokuwa Nyerere hakukutana na mpinzani kama wa Lissu. Risasi 38? Hakika bora shetani kuliko magufuli maana shetani hutumia akili tu lakini Magufuli anatumia akili na Risasi pia kuwachukuwa watu.
 
🤣🤣
CDM mnachekesha sana na sifa za uongo na kwel mnazompa Lissu
ivi lissu kafanya nn cha maana au kaweka maono gani yenye manufaa ya taifa zaidi ya kupinga kila kitu na kuombea serikali isifanikiwe ili apate sifa

Watu wanao msifia Lissu waga nawashangaa sana
 
Wakati nyinyi wenye madaraka mpaka sasa hakuna sekta mliyo ikamilisha kwa asilimia 60 kwa miaka 50 sasa.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom