Baada ya Mwigulu kupita Iringa Msigwa ka panic?

Baada ya Mwigulu kupita Iringa Msigwa ka panic?

Keep on dreaming, CHADEMA is here to stay.
you might be right. the pathetic SACCOS is here to stay... but it is known(you also knows this) that after 2015 election, CHADEMA will be so weak that no one will ever talk about it. it will be like NLD. GET FREE FROM THE CHAINS OF IGNORANCE.
 
Maneno mazito haya
 
Ndugu zanguni,

Ni majuzi tu Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Iringa na kufanya mkutano wa hadhara.

Baada ya huo mkutano tumeshuhudia mikutano mfululizo kila kukicha ya Mchungaji Msigwa huku akialika wabunge wenzake .

Hii ni dalili tosha kuwa Mchungaji amepanic na anahaha kujaribu kujihami kabla ya 2015.

Wiki iliyopita nilikuwa Iringa na nilienda kwenye mkutano wa pale ipogoro na nilishuhudia jinsi Mheshimiwa alivyochuja...

Namshauri badala ya kupoteza muda kwenye mikutano kila kukicha ni bora aanze kujiandaa na maisha baada ya ubunge.

Jitambue...

Mtazamo wako sio MTAZAMO wa wapiga kura wa Mh. Msigwa. Unachofanya ni kugeuza mtazamo wako kuwa mtazamo wa wapiga kura wa Msigwa.

Si sahihi isipokuwa kwa mwenye akili za UPEO wako.
 
Sio Msigwa tu, watu kama sugu hawatarudi bungeni 2015

Chadema itapoteza viti vingi sana....

Nilikuwa Iringa hata wiki haijaisha.
1. Barabara ya Mwang'ingo kwenda Mkimbizi inawekwa lami
2. Kihesa Tumaini kupitia Semtema imewekwa lami na ujenzi unaendelea.
3.Shule za manispaa ya Iringa hakuna mtoto anayekaa chini
4. Barabara ya Samora kwenda Mwangata iko supa ingawa haina lami
5. Wakazi wa Ipogolo wanamshukuru Msigwa kwa kupambana na wachafuzi wa mazingira
6. Maji iringa ni mengi sana
7.Barabara ya Bima Mkimbizi inawekwa lami.

Vyote hivyo vilikuwa ni ndoto kabla Msigwa hajawa Mbunge. Tafakari...
 
Lema nilikutana nae Iringa pale kwa BABANUSA, na alinithibitishia kuwa amekwenda Iringa kuokoa jahazi...

Kwa baba Nusa mnaingia nyie. Lema hawezi kuingia pale. Aende kula mishikaki iliyochacha? Peleka uongo wako kwa mazuzu wenzio
 
kwa uzoefu ukiacha performance yake ktk manispaa ya iringa kama mbunge. jimbo la iringa urban huwa haliongozwi mara 2 na mbunge mmoja angalia kuanzia 95 limeongozwa na nani? kwahiyo kujiandaa kuondoka ni muhimu kwake

Utakufa kwa stress ukiendelea kuwa mjinga hivi
 
Nilikuwa Iringa hata wiki haijaisha.
1. Barabara ya Mwang'ingo kwenda Mkimbizi inawekwa lami
2. Kihesa Tumaini kupitia Semtema imewekwa lami na ujenzi unaendelea.
3.Shule za manispaa ya Iringa hakuna mtoto anayekaa chini
4. Barabara ya Samora kwenda Mwangata iko supa ingawa haina lami
5. Wakazi wa Ipogolo wanamshukuru Msigwa kwa kupambana na wachafuzi wa mazingira
6. Maji iringa ni mengi sana
7.Barabara ya Bima Mkimbizi inawekwa lami.

Vyote hivyo vilikuwa ni ndoto kabla Msigwa hajawa Mbunge. Tafakari...
Hiyo ni mipango ya serikali kuboresha barabara zote nchini
 
LUKOSI
kwa kibena nasikia ina maanisha mkosi

hivyo kaa mbali na sis ujetuambukiza virus vyako mwigulu+lukos+chemba=usengerema2.
 
Back
Top Bottom