Baada ya Mwigulu kupita Iringa Msigwa ka panic?

Baada ya Mwigulu kupita Iringa Msigwa ka panic?

rambi rambi ya mwagosi umerejesha? gamba wewe limekufka kiunoni halingo"ki.
 
Ndugu zanguni,

Ni majuzi tu Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Iringa na kufanya mkutano wa hadhara.

Baada ya huo mkutano tumeshuhudia mikutano mfululizo kila kukicha ya Mchungaji Msigwa huku akialika wabunge wenzake .

Hii ni dalili tosha kuwa Mchungaji amepanic na anahaha kujaribu kujihami kabla ya 2015.

Wiki iliyopita nilikuwa Iringa na nilienda kwenye mkutano wa pale ipogoro na nilishuhudia jinsi Mheshimiwa alivyochuja...

Namshauri badala ya kupoteza muda kwenye mikutano kila kukicha ni bora aanze kujiandaa na maisha baada ya ubunge.


Jitambue...

Ona wenzenu Nairobi inavyogeuka kuwa modern city nyie na maCCM wenzenu hata kuplan nafasi ya kujenga barabara kama hii hakuna. Halafu unajiona mjanja kuunga mkono CCM. Kaka Lukosi really??

high.jpg
 
Sio Msigwa tu, watu kama sugu hawatarudi bungeni 2015

Chadema itapoteza viti vingi sana....

Ninachopendea JF, hizi nyuzi huwa zinakuwemo tu, hazifutiki! Tutarudi tena hapa kuthibitisha utabiri huu! Tuombe uzima!
 
Ninachopendea JF, hizi nyuzi huwa zinakuwemo tu, hazifutiki! Tutarudi tena hapa kuthibitisha utabiri huu! Tuombe uzima!
Hata nilipowaambia kuhusu uchaguzi wa Nduli maandishi bado yapo...
 
Back
Top Bottom