Baada ya Mwigulu kupita Iringa Msigwa ka panic?

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,953
Ndugu zanguni,

Ni majuzi tu Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Iringa na kufanya mkutano wa hadhara.

Baada ya huo mkutano tumeshuhudia mikutano mfululizo kila kukicha ya Mchungaji Msigwa huku akialika wabunge wenzake .

Hii ni dalili tosha kuwa Mchungaji amepanic na anahaha kujaribu kujihami kabla ya 2015.

Wiki iliyopita nilikuwa Iringa na nilienda kwenye mkutano wa pale ipogoro na nilishuhudia jinsi Mheshimiwa alivyochuja...

Namshauri badala ya kupoteza muda kwenye mikutano kila kukicha ni bora aanze kujiandaa na maisha baada ya ubunge.

Jitambue...
 
Sio Msigwa tu, watu kama sugu hawatarudi bungeni 2015

Chadema itapoteza viti vingi sana....
Akipata matatizo diaspora yeyote nadondosha party la nguvu!... Diaspora wengi wajinga wala hawana mapenzi ya dhati na nchi yao!.. MATATIZO YAO ni sherehe kwa kila mtanzania mpenda haki!..
 
Ndugu zanguni,

Ni majuzi tu Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Iringa na kufanya mkutano wa hadhara.

Baada ya huo mkutano tumeshuhudia mikutano mfululizo kila kukicha ya Mchungaji Msigwa huku akialika wabunge wenzake .

Hii ni dalili tosha kuwa Mchungaji amepanic na anahaha kujaribu kujihami kabla ya 2015.

Wiki iliyopita nilikuwa Iringa na nilienda kwenye mkutano wa pale ipogoro na nilishuhudia jinsi Mheshimiwa alivyochuja...

Namshauri badala ya kupoteza muda kwenye mikutano kila kukicha ni bora aanze kujiandaa na maisha baada ya ubunge.

Jitambue...
Hivi we babu mzima upstairs?!
 
Ukweli CHADEMA imechuja....mbinu iliyobaki kwao ni kung'ang'ania UKAWA....ndio mkombozi wao....THITHIEM THITHIEM aaah.....
 
Akipata matatizo diaspora yeyote nadondosha party la nguvu!... Diaspora wengi wajinga wala hawana mapenzi ya dhati na nchi yao!.. MATATIZO YAO ni sherehe kwa kila mtanzania mpenda haki!..
Asilimia kubwa ya diaspora ni chadema wenzako....
 
Back
Top Bottom