Baada ya Mwele Kuula UN, Kamugisha Kazaura awa Director of Infrastructure (EAC)

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Wale vyura wote waliopigwa mateke naona wameongezewa mbele moja kati ya watu Makini kabisa akina Kamugisha Kazaura amekua Mkurugenzi wa Miundombinu Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka kwenye Kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya TTCL ambayo haina Wateja hata 300,000.
 
Wale vyura wote waliopigwa mateke naona wameongezewa mbele moja kati ya watu Makini kabisa akina Kamugisha Kazaura amekua Mkurugenzi wa Miundombinu Jumuia ya Afrika Mashariki kutoka kwenye Kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya TTCL ambayo haina Wateja hata 300,000.
Kwa wanaoamini katika uwepo wa Mungu, this is a straight message kuwa tutende haki, tusipendelee, tusiwe na chuki, tusiwe wa visasi
 
Atajikuta wizara zote kabakiwa na akina bashite and Co, muda mwingine aache wataalam wafanye kazi kwa weledi sionidhamu ya woga
 
Hata wewe ukifukuzwa kazi kampuni A, haimaanishi huajiriki.
Yawezekana Huyo mzee anapwaya TTCL ina anafaa Huko alikoenda.
TTCL is business, na Kwa maneno yako haina wateja hata 300000 sasa kama angekuwa na uwezo hata wewe hapo ungekuwa unatumia line ya TTCL.
Kuhusu MWele(kama ni dalili za virus hivyo ni mazao ya utafiti haupingwi ila unatolewa kupitia channel husika), Hadi kesho hatuna Mgonjwa au mtu mwenye Dalili ya ZIKA Tanzania kama yupo tueleze mkuu. Hilo ndilo naweza kuchangia mengine sijui.
 
Hata wewe ukifukuzwa kazi kampuni A, haimaanishi huajiriki.
Yawezekana Huyo mzee anapwaya TTCL ina anafaa Huko alikoenda.
TTCL is business, na Kwa maneno yako haina wateja hata 300000 sasa kama angekuwa na uwezo hata wewe hapo ungekuwa unatumia line ya TTCL.
Kuhusu MWele, Hadi kesho hatuna Mgonjwa au mtu mwenye Dalili ya ZIKA Tanzania kama yupo tueleze mkuu. Hilo ndilo naweza kuchangia mengine sijui.
Good umefafanua vizuri sana
 
Una uhakika Hakuna mgonjwa au mtu Mwenye dalili za zika
 
Wewe ni Lumumba umeelekezwa namna ya kufikiri , kusema na kutenda nini. If you had more of an independent mind, you would have written more
 
Una uhakika Hakuna mgonjwa au mtu Mwenye dalili za zika
Sijawahi kumsikia wala kumuona kwenye magazeti na vyombo vyovyote rasmi vya kutoa taarifa nchini badala yake nimewaona kwenye vyombo vya nje ya nchi. Kama wewe umewaona tushirikishe hakuna ugomvi. Kama kuna uwezekano wa kuwepo zika virus, mimi nimesema sijawahi kuona, kama wewe umemuona tushirikieshe ili tujifunze kwa nini dunia ielekeze nguvu zake S & C amerika sio hapa kwetu...
 
Wale vyura wote waliopigwa mateke naona wameongezewa mbele moja kati ya watu Makini kabisa akina Kamugisha Kazaura amekua Mkurugenzi wa Miundombinu Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka kwenye Kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya TTCL ambayo haina Wateja hata 300,000.
Huyu naye alitengeneza sana makundi Ttcl , kama huendi kujichekesha ofisini kwake anakuweka kando ofisini
 
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni, kwa tengue tengua hizi tunaondoa wataalamu na kuweka bogaz, mwisho wa siku wanaenda kuleta ufanisi katika mataifa mengine
 
Hata wewe ukifukuzwa kazi kampuni A, haimaanishi huajiriki.
Yawezekana Huyo mzee anapwaya TTCL ina anafaa Huko alikoenda.
TTCL is business, na Kwa maneno yako haina wateja hata 300000 sasa kama angekuwa na uwezo hata wewe hapo ungekuwa unatumia line ya TTCL.
Kuhusu MWele, Hadi kesho hatuna Mgonjwa au mtu mwenye Dalili ya ZIKA Tanzania kama yupo tueleze mkuu. Hilo ndilo naweza kuchangia mengine sijui.
Zika virus dalili zake huwa kama za mafua and co, lakini effects zake zitaonekana kwa watoto watakao zaliwa na wazazi waishio na virusi vya zika, you just wait
 
Wale vyura wote waliopigwa mateke naona wameongezewa mbele moja kati ya watu Makini kabisa akina Kamugisha Kazaura amekua Mkurugenzi wa Miundombinu Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka kwenye Kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya TTCL ambayo haina Wateja hata 300,000.

Huyo Kamugisha alifanya nini TTCL? Kitu gani kikubwa alichobadilisha kwenye hili shirika?
 
Jiwe walilo kataa waashi hongera kamugisha nasubiri walio tumbuliwa wengine wote akiwemo sefue nae aule dadeki aibu kwa bwana yule
 
Back
Top Bottom