kuna mwanadada mmoja alikuwa anatoa ushuhuda radio safina, mh kasema makubwa.
Kasema kuwa alikuwa amechukuliwa msukule na waziri mmoja na kazi yake usiku ilikuwa kuwanga, kwenda kuzima, kuua na kunywa damu za watu.
Siku moja akiwa katika mizunguko yake, akapita nyumba moja palikuwa panafanyika maombi, ndo akachanganyikiwa akajistukia anakimbia uchi, ndo watu wakasema mchawi mchawi wakampeka kuombewa. Baada ya hapo akakubali kuokoka na kueleza a to z. Amesema ameua wajawazito, ameuwa hata wale watoto waliofiwa kwenye kumbi za disco dar.
Alikuwa anakaa kwenye jumba la waziri mmoja dar. Huyo dada anaendaga kwenyekumbi za disco, anakuwa mzuri na wanaume wanampapatikia. Mwanaume akimchukua kwenda kulala nae, huyo mwanaume anapelekwa kuzimu
nawaambieni kuwa mungu yupo, na anaweza kufanya maajabu. Wanadamu tuache dhambi na kusali.
huwa ni exaggeration mpaka siku ukikumbana na binti kama huyu. na ukiwaambia wengine watakujibu exaggeration......hivi vitu vingine huwaga ni exageration tu
Ndio kusema watanzania tumekuwa tukitumia dimension nyengine kabla wazungu au
Those are sheer fabrications on the part of fake pastors that aim at intimidating people who will later fall prey to their dirty tricks.Jamani kuna hata mmojawetu anayewajua wale wanaoitwa Msukule ambao wamefufuliwa na yule Mchungaji ambaye alikuwa Ubungo na sasa kahamia Kawe?,historia yao tangia utoto ilikuwaje,walikuwa wanaishi wapi kabla hawajafa?, wazazi wao wapo wapi?, mbona huwa hawaendi kwenye vyombo vya serikali ili legal procedures zichukuliwe kwa wale waliowatesa?......... La mwisho hivi kuna aliyejiuliza mbona wachungaji wakubwa wote wa hapa tz,makanisa yao yanapatikana wilaya ya Kinondoni tena low and medium density areas,Ubungo,Mwenge,Mikocheni,Kawe,Mbezi Beach nk.....nataka tuchemshe bongo zetu tu jamani sina maslai binafsi wala nia mbaya!
Nadhani watoto na waliochanganyikiwa ni rahisi kuaminiKuna mwanadada mmoja alikuwa anatoa ushuhuda Radio Safina, mh kasema makubwa. kasema kuwa alikuwa amechukuliwa msukule na waziri mmoja na kazi yake usiku ilikuwa kuwanga, kwenda kuzima, kuua na kunywa damu za watu. Siku moja akiwa katika mizunguko yake, akapita nyumba moja palikuwa panafanyika maombi, ndo akachanganyikiwa akajistukia anakimbia uchi, ndo watu wakasema mchawi mchawi wakampeka kuombewa. Baada ya hapo akakubali kuokoka na kueleza A to Z. Amesema ameua wajawazito, ameuwa hata wale watoto waliofiwa kwenye kumbi za Disco Dar. Alikuwa anakaa kwenye Jumba la Waziri mmoja Dar. huyo dada anaendaga kwenyekumbi za disco, anakuwa mzuri na wanaume wanampapatikia. Mwanaume akimchukua kwenda kulala nae, huyo mwanaume anapelekwa kuzimu Nawaambieni kuwa Mungu yupo, na Anaweza kufanya maajabu. Wanadamu tuache dhambi na kusali.
Inabidi ifanyike hivyo ili watu waamini.let her air out live in television na kiwe kipindi maalumu then if possible amtaje that minister,we live and belive tangible evidences,otherwise ...
Ngoja nikusaidie kumalizia mkuu, otherwise ni crap in its pure form hahahaha lolzlet her air out live in television na kiwe kipindi maalumu then if possible amtaje that minister,we live and belive tangible evidences,otherwise ...