Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
1.Serikali bado mpya(tunaendelea kujipanga zaidi)
2.Baadhi ya vyanzo ni vipya hivyo hatukuwa na uzoefu navyo katika swala zima la ukusanyaji wa mapato
3.Baadhi ya nchi wahisani wameshindwa kutimiza ahadi zao kwa wakati
4.Wafanyabiashara waliokua wanakwepa kodi wamefunga/wamepunguza biashara zao hivyo kuathiri ukusanyaji wa mapato
5.Elimu zaidi bado inahitajika kutolewa kwa wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi
6.Kushuka kwa biashara ya utalii kutokana na kutoza VAT kwenye sekta hii.
7.Hujuma katika ukusanyaji wa kodi
8.Kuendelea kupungua kwa mizigo bandarani kumeathiri sana ukusanyaji wa mapato ya serikali.