Baada ya mubarak wa misri nani anafuata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya mubarak wa misri nani anafuata

Discussion in 'International Forum' started by JOHN MADIBA, Feb 2, 2011.

 1. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :msela:Wananchi nchini misri wamechoshwa na ubabaishaji wa rais wao mubarak, ukosefuwa ajira, katiba chakachuzi kama hihi ya Tanzania. Je nani atafuata kutolewa madarakani kwa nguvu ya umma kutokana na kudharau kilio cha wananchi. KIKWETE-Tanzania, MUGABE-Zimbwabe, MUSEVENI-Uganda, au Gbagbo- ivory cost????:bump::msela:
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Tym will tell!
   
 3. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :msela:Wananchi nchini misri wamechoshwa na ubabaishaji wa rais wao mubarak, ukosefuwa ajira, katiba chakachuzi kama hii ya Tanzania. Je nani atafuata kutolewa madarakani kwa nguvu ya umma kutokana na kutosikia kilio cha wengi, mabadiliko, umaskini, uchakachuaji, ufisadi like DOWAN, KIKWETE-Tanzania, MUGABE-Zimbwabe, MUSEVENI-Uganda, au Gbagbo- ivory cost????:bump::msela:
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  JK anatamani Watz wasijue kinachotokea Misri lakini utandawazi unam'let down.
   
 5. b

  backer Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  time will tell who is next to leave the white house by majority force, ila mi nilikuwa natamani hawa viongozi wetu wangesoma alama za nyakati ili wasije wakaaibika na ule wimbo wao wa kisiwa cha amani utakapoimbwa tofauti.watanzania wa sasa sio wale wa zamani sasa watu wanajua kila kinachotokea dunian kota, wawe macho/
   
Loading...