Baada ya mshahara kuingia leo 15:00hrs nimeangalia video hii nimejisikia vibaya

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,079
6,911
Habari wana jamii.
Hivi kuna uhalisia wa anachoongea hapa na matendo yake.
Kikwete alituacha hivi
c300fa87f494338415e350033cfba553.jpg

Ameamua kupunguza kwa kuongeza makato.
 
Acha kazi ya nini kukaa unanung'unika tu acha kazi fanya mambo mengine muda mingine tumieni hiyo elimu yenu kujikwamua na mazingira yanayowazunguka siyo kulalamika tu hivi tukiamua kila mtanzania alalamikie serikali tutafika?
 
Nikikutajia figure wanayonikamua HESLB, utaumia sana.
Kipindi kile unasoma uliandamana kutaka serikali ikiongezee boom sasahivi unalalamika kuwa unakatwa marejesho....kwani ulijua ni bure? Dawa ya deni ni kulipa deni.....
 
Mkuu hapo hujakopa bank ili ununue ata kiwanja maana ni wachache wanaweza kufanya vitu vikubwa bila mkopo. Maisha ya sasa yanahitaji kushughulisha akili zaidi na kupunguza utegenezi was mshahara ili kupiga hatua za maendeo.
 
Back
Top Bottom