Baada ya miaka miwili ndani ya JF....

Hahahah hii kali mi najivunia kuwa pritty wa Joseph nalo ni kosa?Ni shidaaaaa
 
na hivi kuna siku bulldog aliweka picha ya miss chagga nahisi atakuwa kavutiwa nae kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Teh teh teh! cargo naona umefunguka ya moyoni ila inaonekana kama bado hujamaliza hv funguka tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…