ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
umejiunga tarehe 8 mwezi wa kwanza 2013!
Hii miaka miwili imefikaje?
Find another way to express your query, not like this..
Mimi nilikuwa ninayaangalia makalio yao na bado nikapata division I ya point 9 miaka hiyo Azania Secondary School.
Inategemea "ntu" na "ntu".
Huyu jina lake jingine ni MCHUNGUZI HURU
Mbona umemtaja mtu huku wakati umesema hauna nia ya ku-attack mtu??
miss chagga njoo pande hii kunakuhusu!!
Huyu jina lake jingine ni MCHUNGUZI HURU
na wewe jitahidi ujue alafu uje na majivuno..... ukiona hivyo take it as a challenge na wewe ufike mahali uwe kama hao..... miss chagga ni jina tu kama username nyingine....... marangu ni eneo ambalo lina milima mrefu na water falls nzuri tu usijali mkuu.....
nimekupenda bure kwa kuacha mambo ya msingi na kuangalia easy thing.... my advice endelea kutafuta hela kwa bidii zote ni njia moja wapo ya kuwa na majivuno hata kama hufanyi utaonekana hivyo kwa kuwa jamii itakuwa inakuogopa...... look foward ..
Cargo linaendana na wewe nice username
Ushauri wa bure.....ntaufanyia kazi
Mbona umemtaja mtu huku wakati umesema hauna nia ya ku-attack mtu??
miss chagga njoo pande hii kunakuhusu!!
Sija mu-attack...plz nolitolea mfano....sorry kama atakuwa amekwazika....tunajenga nchi tunataka wanaharakati wa kwel siyo wanaotamba wanaharakati wakati wanajificha...
wewe aliyekwambia JF ni ya wanaharakati ni nani?
nishakwambia tena size yako whatsup na fesibuku, huku kwa umri wako wa kulishwa utajilaumu bure
Sina nia ya kum-attack member yeyote wa JF ila nimegundua makundi mawili hatari ndani ya jukwaa hili lenye nia njema......
1. Wajivuni..
→hawa hupenda sana kusifia maeneo wanayotoka...utasikia kwetu marangu, mm mchaga bhana....hata ID zao hutaziona e.g misschaga.....
→mara nyingi wanapo comment kwa kutumia simu utaona signature zao eg sent from my i-phone smart phone....
→ Pia hupenda kujionyesha wanaijua sana dar kuliko wengine....
2. Waongo na wanafiki.....
Hawa ndo hatari zaidi kwa ustawi wa taifa langu pendwa Tanzania...hupenda sana kujiita wanaharakati wakati hata ID zao siyo verified..mwanaharakati ni yule anajiweka wazi na watu kumtambua.
Hivi unawezaje kumuua nyoka kwa kutumia fimbo ndefu? Nchi haitajengwa na waongo/wanafiki...kama kweli nyie ni wanaharakati toeni hayo matusi kwa viongozi kwa kutumia verified ID.....
Narudia tena sina nia ya kum-attack mtu....
Mimi na Tanzania taifa langu pendwa....
Mungu ibariki Tanzania
wewe aliyekwambia JF ni ya wanaharakati ni nani?
nishakwambia tena size yako whatsup na fesibuku, huku kwa umri wako wa kulishwa utajilaumu bure
huyu wa fb akabandike mipicha yake na kusubiria like zake huko....jf haiwezi...
huyu mtoa mada ndio wale wakiwa darasani wanaangalia makalio ya walimu wanapoandika ubaoni.....mwisho wa siku anaondoka na ziro