Baada ya miaka 9 Sinta afunguka kuhusu Nature

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
JLO wa Bongo afunguka kuhusu bifu lake na Nature anataka kufanya kuwa dili la kutoa nae movie!!

 

Attachments

  • Sinta_Nature_Saga.jpg
    42.7 KB · Views: 1,910
wabongo bwana Umbumbumbu tu.. ETI JLO WA BONGO.. ana u JLO gani mluguru wa matombo huyu??? mpssxxyyy..jinga kabisa..Masaburi he's very intelligent
 
Itakuwa pouwa wakitumbukia tena kwenye malavidavi, au incase part flani ya movie iwe na mahaba, patakuwa patamu mbaya..all the best
 
JLO wa Bongo afunguka kuhusu bifu lake na Nature anataka kufanya kuwa dili la kutoa nae movie!!


Labda watoe muvi ya X lakini hz za kawaida za kibongo hazina mvuto hata kama idea ni nzuri.
 
Inaweza kuwarudisha kwenye piki ya umaarufu wao, ni hilo tu.
 
Kusamehe ni kitu kizuri kuliko huo mpango wa kufanya kazi pamoja. Wasameheane kama binadamu hayo mengine ni matokeo tu
 
mmmh! jamani hizi movi hadi mmnaharibu maana yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…