Dunda kwetu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 265
- 37
Nchini Indonesia.familia iliopoteana na mtoto wao kwa kipindi cha miaka saba wamekutana na mwanae.kweli damu nzito kuliko maji Baba ndie aliekuwa wa kwanza kumfahamu mwanae baada ya damu kumchemka na kuanza kumchunguza mtoto kwa mda uku safari ikiendelea ndipo alipogundua baadhi ya alama alizozaliwa nazo mwane zikishabihiana...
KWELI MUNGU MKUBWA
KWELI MUNGU MKUBWA