Baada ya miaka 7 ya tsunami baba akutana na mwanae ndani ya bus

Baada ya miaka 7 ya tsunami baba akutana na mwanae ndani ya bus

Dunda kwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
265
Reaction score
37
INDONESIA-TSUNAMI-FAMILY-264229.JPGNchini Indonesia.familia iliopoteana na mtoto wao kwa kipindi cha miaka saba wamekutana na mwanae.kweli damu nzito kuliko maji Baba ndie aliekuwa wa kwanza kumfahamu mwanae baada ya damu kumchemka na kuanza kumchunguza mtoto kwa mda uku safari ikiendelea ndipo alipogundua baadhi ya alama alizozaliwa nazo mwane zikishabihiana...
KWELI MUNGU MKUBWA
 
Back
Top Bottom