Baada ya miaka 5 kukamilika,mtarajie haya

Baada ya miaka 5 kukamilika,mtarajie haya

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,775
Reaction score
165,419
1.Kiwango cha umasikini kuongezeka

2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.

3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates

4.Kilimo kuporomoka

5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka

6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.

7.kupungua kwa uwekezaji

8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.

9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.

10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.

11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.

Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.

Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.

Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.
 
tatzo sio wanaotuongoza, tatizo ni sisi watanzania wenyewe.

Sisi ndo tumeruhusu yote hayo yatokee na bado tutaendelea kuyavumilia.

Ujinga wetu na kupenda ubuyu zaidi ya vitu vya msingi ndo mtaji wao.
 
Makao makuu yataendelea kuwa yale yale kwenye lile banda pale ufipa?
ACHA KULETA UPUUZI WAKO HAPA KWANI MAJENGO MLIOJENGA KWA FEDHA ZA WATANZANIA YAMETUSAIDIA NINI?MLIPOCHUKUA 1.7 BILIONI PALE HAZNA MKAJILIPA ILE SHULE ILIYOKARABATIWA KWA RAMBIRAMBI ZIMEKUSAIDIA NINI HASA MAITI KAMA WEWE?
 
ACHA KULETA UPUUZI WAKO HAPA KWANI MAJENGO MLIOJENGA KWA FEDHA ZA WATANZANIA YAMETUSAIDIA NINI?MLIPOCHUKUA 1.7 BILIONI PALE HAZNA MKAJILIPA ILE SHULE ILIYOKARABATIWA KWA RAMBIRAMBI ZIMEKUSAIDIA NINI HASA MAITI KAMA WEWE?
Aisee mbona umepanick namna hii?
 
Deni hewa la mwenyekiti litakuwa limeongezeka mara dufu na kushindikana kulipwa kutokana na ruzuku kiduchu.
 
Ukisha mwaga damu .hakuna baraka za Mungu tenaa
 
Back
Top Bottom