Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,389
- 2,118
MKUU UCHUMI UNATAKA UANGUKE MARA YA NGAPI?Uchumi wa nchi kuanguka
MKUU UCHUMI UNATAKA UANGUKE MARA YA NGAPI?Uchumi wa nchi kuanguka
Makao makuu yataendelea kuwa yale yale kwenye lile banda pale ufipa?
Vyama havitusaidii, kweli?MKUU SIJAPANIKI HATA KIDOGO ILA INASIKITISHA KUONA TUNAJADILI MAMBO YA KITAIFA WENGINE WANACHOMEKEA MAMBO YA VYAMA AMBAVYO HAVITUSAIDI KWANI KUNA WATU HAWANA VYAMA ILA NI WATANZANIA.
Haya, ni ruksa kujidanganya.Hapa umepatia na ni ukweli mchungu, sasa ngoja nikuulize, ccm inamiliki viwanja vikubwa vya mpira hapa nchini na majengo mengi makubwa. Je ni viwanja vingapi imefanikiwa kujenga toka mfumo wa vyama vingi, na ni majengo mangapi imejenga baada ya mfumo wa vyama vingi, ukilinganisha na majengo iliyomiliki kabla ya mfumo wa vyama vingi? Ukiweza kupitia tathmini hiyo kimoyomoyo utakuta hawana kubwa la kuwacheka cdm.
Endelea kutupigia ramli,ukiwa unakata vitunguu maji jikoni1.Kiwango cha umasikini kuongezeka
2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.
3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates
4.Kilimo kuporomoka
5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka
6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.
7.kupungua kwa uwekezaji
8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.
9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.
10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.
11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.
Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.
Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.
Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.
Mbaya zaid had kiongoz wa taifa lile n mpenz wa ubuyutatzo sio wanaotuongoza, tatizo ni sisi watanzania wenyewe.
Sisi ndo tumeruhusu yote hayo yatokee na bado tutaendelea kuyavumilia.
Ujinga wetu na kupenda ubuyu zaidi ya vitu vya msingi ndo mtaji wao.
Kam ile nyumba ya kawaida tu inawatoa jasho sisiemu. Je chadema wakijenga gorofa, ccm si watakuwa vichaa kuanzia mwenyekiti wa Taifa had kule vjijnMakao makuu yataendelea kuwa yale yale kwenye lile banda pale ufipa?
Wajenge basi hilo gofofa. Wanangoja nini sasa?Kam ile nyumba ya kawaida tu inawatoa jasho visiemu. Je chadema wakijenga gorofa, ccm si watakuwa vichaa kuanzia mwenyekiti wa Taifa had kule vjijn
Hayo yote uliyoyaeleza yameshatokea ila sema mpaka muda huo yatakuwa mara kumi yake ila ungeongeza vipengele kama:1.Kiwango cha umasikini kuongezeka
2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.
3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates
4.Kilimo kuporomoka
5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka
6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.
7.kupungua kwa uwekezaji
8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.
9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.
10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.
11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.
Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.
Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.
Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.
MKUU VITATUSAIDIA IWAPO VITASIMAMA KUTETEA MAMBO YA KITAIFA NA SI KUANGALIA MASLAHI YA CHAMA KAMA ILIVYO SASAVyama havitusaidii, kweli?
Uko sawa kama unavyofikiri. Na wengine wako sawa vile vile.MKUU VITATUSAIDIA IWAPO VITASIMAMA KUTETEA MAMBO YA KITAIFA NA SI KUANGALIA MASLAHI YA CHAMA KAMA ILIVYO SASA
Katika awamu zote, awamu hii ya tano ndo inayo ongoza kwa kuchezesha kamari, ama kweli tumepatikana, sijui tumeingia Choo gani.Umesahau KAMARI itakuwa ndio uti wa mgongo wa TAIFA hilo.