wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,332
Ndio maana mitandao mingine inafungwa
1.Kiwango cha umasikini kuongezeka
2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.
3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates
4.Kilimo kuporomoka
5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka
6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.
7.kupungua kwa uwekezaji
8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.
9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.
10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.
11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.
Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.
Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.
Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.
Hii sio facebook hivyo hatutukani humu, Tuna matumizi ya Tafsida au kupunguza makali ya manenoHivi mkuu hili jina la Sizonje lina maana gani?Au limetokea wapi?
MKUU MIAKA MITATU BADO USHAMBA HAUJAWATOKA?SEMA NCHI IMEKABIDHIWA KWA WAHUNI KAMA SIYO KWA SHETANI NA MALAIKA ZAKE AKINA BASHITE.Nchi imekabidhiwa kwa washamba unategemea nini?
indeed mkuutatzo sio wanaotuongoza, tatizo ni sisi watanzania wenyewe.
Sisi ndo tumeruhusu yote hayo yatokee na bado tutaendelea kuyavumilia.
Ujinga wetu na kupenda ubuyu zaidi ya vitu vya msingi ndo mtaji wao.
Sema baada yakufia mamlakani sio baada ya Miaka mi51.Kiwango cha umasikini kuongezeka
2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.
3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates
4.Kilimo kuporomoka
5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka
6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.
7.kupungua kwa uwekezaji
8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.
9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.
10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.
11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.
Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.
Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.
Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.
kuna watu hawana vyama ila niwatanzania ..Nipo mkuuMKUU SIJAPANIKI HATA KIDOGO ILA INASIKITISHA KUONA TUNAJADILI MAMBO YA KITAIFA WENGINE WANACHOMEKEA MAMBO YA VYAMA AMBAVYO HAVITUSAIDI KWANI KUNA WATU HAWANA VYAMA ILA NI WATANZANIA.
wanacho ngoja nikumnusuru mwenye kiti wa taifa hadi kule kijijini kuwa vichaaWajenge basi hilo gofofa. Wanangoja nini sasa?
Acha kutuletea vitu vya kucrame darasani kwenye maisha halisi... Gari limemshinda mtu mnaanza kusingizia hatuaKajifunze hatua za kiuchumi nchi zinazopitia....
Ukiwa mjinga utakumbwa tu.
MUULIZE MRISHO MPOTOHivi mkuu hili jina la Sizonje lina maana gani?Au limetokea wapi?
NDIYO MKUU WAPO WENGI SANA UKIWEMO WEWE NA MIMI.kuna watu hawana vyama ila niwatanzania ..Nipo mkuu
Mkuu, mbona huyo wa bavicha ana akili kuliko zako? kwani ofisi za chama chako ziko wapi? elewa lile la Lumumba ni la serikali, na mengi sana ni ya serikali sio ya hicho chama chako. Ipo siku utaamini maneno yangu.Ona sasa, yakikushinda unaanza kuleta lugha za kibavicha.
Ha ha ha, akili nyingine za kibavicha hizi.Mkuu, mbona huyo wa bavicha ana akili kuliko zako? kwani ofisi za chama chako ziko wapi? elewa lile la Lumumba ni la serikali, na mengi sana ni ya serikali sio ya hicho chama chako. Ipo siku utaamini maneno yangu.
Wanangoja ccm muwe vichaa zaidi baada ya kunywa ya watanzania ya kutoshaWajenge basi hilo gofofa. Wanangoja nini sasa?