Baada ya miaka 5 kukamilika,mtarajie haya

Hii sio facebook hivyo hatutukani humu, Tuna matumizi ya Tafsida au kupunguza makali ya maneno

Utaelewa taratibu bado wewe mgeni utajifunza, ulizoea Facebook eeh, huku ukitukana unakula Ban

Hamjanijibu lakini.
 
1.Kiwango cha umasikini kuongezeka

2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.

3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates

4.Kilimo kuporomoka

5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka

6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.

7.kupungua kwa uwekezaji

8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.

9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.

10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.

11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.

Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.

Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.

Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.
Fact
 
12.Utengano na Chuki kuongezeka.
13. Ongezeko la utapeli wa kila aina
14.Viongozi wa dini kusahau wajibu wao na heshima walizonazo.
15. Uwajibikaji na maadili ya utumishi kwa watumishi wa umma kushuka.
16.Ongezeko la wachambuzi wa masuala ya siasa na uchumi.
 
1.Kiwango cha umasikini kuongezeka

2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.

3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates

4.Kilimo kuporomoka

5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka

6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.

7.kupungua kwa uwekezaji

8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.

9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.

10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.

11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.

Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.

Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.

Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.
Tatizo ni ninyi wananchi mna yakubali
 
tatzo sio wanaotuongoza, tatizo ni sisi watanzania wenyewe.

Sisi ndo tumeruhusu yote hayo yatokee na bado tutaendelea kuyavumilia.

Ujinga wetu na kupenda ubuyu zaidi ya vitu vya msingi ndo mtaji wao.
Mngekuwa na akil mngeweza kulijenga taifa lenu lakin mnasubir binadamu mwenye akil kama nyinyi aje awajengee taifa lenu

Hata kuzoa taka nazo mpaka serikali
Mabadiliko hayaj kwa siasa za midomon mabadiliko yanakuja kwa kuamua kufanya kaz kwa bidii kuwa mtumwa kwa taifa lako vizaz vyako viishi kifalme
 
vp baada ya miaka 14 ya uongozi wa Mbowe cdm imepiga hatua mbele au inarudi nyuma
Tangu uongozi wa Mbowe kushika hatamu, CDM imekuwa na wabunge wangapi? Na kabla yake ilikuwa na wabunge wangapi? Hapo ndo utajua ina/imesonga mbele au kurudi nyuma. Simple answer, usifunike mavi gunia.
 
1.Kiwango cha umasikini kuongezeka

2.Idadi ya watu wasiokuwa na ajira kuongezeka.

3.Idadi ya wamachinga mijini kuongezekaa baadhi yao wakiwa graduates

4.Kilimo kuporomoka

5.Purchasing power ya watu kuendelea kushuka

6.Mitaji ya watu kuendelea kuporomoka.

7.kupungua kwa uwekezaji

8.Idadi ya tegemezi katika ngazi ya familia kuongezeka.

9.Idadi ya vijana wanaoonekana wazee kulinganisha na umri wao kuongezeka.

10.Idadi ya vijana wanaoshinda kujiunga na elimu ya juu kuongezeka.

11.Deni la Taifa katika nchi husika kufikia kiwango cha kutisha huku ukuaji wa uchumi katika nchi hiyo ukiendelea kushuka.

Haya yatatokea katika nchi moja barani Afrika ambayo viongozi wake wamekosa ubunifu,wameshindwa kuweka vipaumbele,wanatumia nguvu badala ya akili kuongoza,hawana vision,wakurupukaji na wenye uwezo mdogo wa kufikiri huku kupata sifa kwao ndio jambo la msingi kuliko kitu kingine chochote.

Ni Taifa ambalo viongozi wake wanaamini mawazo kinzani hayana nafasi katika kuleta maendeleo.

Baada ya muda huo nilioutaja kukamilika kila mtu atakuwa amepata jibu nchi hiyo ni nchi gani.

Tegemea upinzani n chadema kufa.
 
Back
Top Bottom