Baada ya miaka 30, Rais Mubarak ateua VP

rmb

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
223
6
Baada ya maji kumfikia shingoni, Rais wa Misri, Mubarak sasa amemteua Omar Suleiman kama VP! Ifahamike kwamba hakukuwa na VP huko Misri toka jamaa alipopata madaraka mwaka 1981. Huyu jamaa alikuwa head wa Intelligence kabla ya kupewa hiki cheo kipya

Source; Aljazeera
 
Mfa maji hukamata maji, huko ni katika jitihada za kuchakachua madaraka yasimtoke. Watu hawamtaki yeye sasa ameamua kuvunja baraza la mawaziri na kuunda jipya ili iweje? Nadhani anatamani wale jirani zake wenye utawala wa Ufalme anahisi nae ni mmoja wao. Tusubiri tuone.....upepo wa mabadiliko umewadia.....mwambieni Vasco da gama, no mwenyewe anayaona, mwenzio akinyolewa..........
 
kwa nini viongozi wa kiAfrica hawataki kutoka Madarakani?,
Zimbabwe, mugabe kangangania na mwisho kaamua kumteua mpinzani wake awepo kwenye kabinet ya uongozi
Kenya ni hivyhivyo, suluhu ilipatikana kwa Oginga kuingia serikalini
Ivory Coast same case
na sasa Ni Egypt,
 
Anaambiwa aondoke yeye anateua VP kazi kweli kweli viongozi wa Africa kuelewa ni wagumu au hawataki kuelewa?
 
In most places a 30 yr "president" is known as a dictator.....but this is an American ally, so we'll call him "president". Just like Augusto Pinochet. America is ALL about spreading freedom and democracy.
 
kwa nini viongozi wa kiAfrica hawataki kutoka Madarakani?,
Zimbabwe, mugabe kangangania na mwisho kaamua kumteua mpinzani wake awepo kwenye kabinet ya uongozi
Kenya ni hivyhivyo, suluhu ilipatikana kwa Oginga kuingia serikalini
Ivory Coast same case
na sasa Ni Egypt,

zanziba, Tanganyika
 
And who said it can't be done? Play your part it can be done.....and be part of the changes you want to see in the world.
 
Waafrica tuna tabu sana. Sasa over 30 years upo madarakani si ung'atuke tu uwaachie na wengine wenye new vision waongoze??!!!!
 
Back
Top Bottom